MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kuna yule king'ang'anizi anaitwa Barbarosa huwa anabishia kwamba hapakua na umuhimu wa upanuzi wa hii barabara, pamoja na huo upanuzi bado magari na foleni zinazidi kuwa balaa.
Hii picha hapa eneo hili wakati likiwa tupu bila magari mengi, halafu picha inayofuatia ni jioni ya leo magari hayaendi eneo hilo hilo jameni, mengi hadi kero.
Hii picha hapa eneo hili wakati likiwa tupu bila magari mengi, halafu picha inayofuatia ni jioni ya leo magari hayaendi eneo hilo hilo jameni, mengi hadi kero.