Things Magufuli said and Kenyan Media rediculate him only to be proven right by WHO

Things Magufuli said and Kenyan Media rediculate him only to be proven right by WHO

Wakenya nawaambia msipotoshwe na mitandao ya kijamii ya Tanzania kumhusu magufuli.

Msione tunavyomkosoa mkajua hatumpendi la hasha mtakuwa mnajidanganya.

Tunawaangalia mwenendo wenu mnavyowanyanyasa watanzania hapo mpakani

Sisi watanzania magufuli ndio amiri jeshi wetu Jana kaongea kidiplomasia Sana ni Kama onyo kwa mnayoyafanya jitafakarini.

Viva magufuli.

Superbug.
 
So what you are saying is that Tanzania has it's own methods of covid-19 testing? Which test did Magufuli's Son use to test positive and is it widely used in Tanzania and would you care to tell us more?
Jamaa kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa habari duniani ni dhahiri uliona jinsi uingereza waliamua kutibia watu kutokana na dalili waliozionyesha,na hiyo ndo njia bora kwa mataifa ambayo yako vizuri ki-usalama wa taifa,kama haowezekani kuwa na vifaa vyetu vya kupimia,basi ni kheri kutumia dalili katika kutibia watu...na huo ndo msimamo wa jiwe,symptoms.
 
Wakenya nawaambia msipotoshwe na mitandao ya kijamii ya Tanzania kumhusu magufuli.

Msione tunavyomkosoa mkajua hatumpendi la hasha mtakuwa mnajidanganya.

Tunawaangalia mwenendo wenu mnavyowanyanyasa watanzania hapo mpakani

Sisi watanzania magufuli ndio amiri jeshi wetu Jana kaongea kidiplomasia Sana ni Kama onyo kwa mnayoyafanya jitafakarini.

Viva magufuli.

Superbug.
Dude watanzania wananyanyaswa kivip?
Kisa kupima tu?
Kama vip sisi tuqapime madereva wetu wanaotoka na kuingia.
Mwisho ni kuwa kenya ni taifa huru lina sheria zake na maamuzi yake. Hatuwez waingilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ligi kubwa kwa tahira km Wewe

Mwanume unaandika "chefu chefu " bila shaka ni punga Wewe uliejificha Chadema Kwasababu wanakuteteeni

AaaaAaaaaaaah hii Ligi huwezi mtafute jambazi mkuu aliyejificha kichakani aje akusaidie.
 
Zungumzia nafsi yako tu Magufuli anapendwa na wafanyakazi wake tu unknown
Wahuni ndo hawampendi Magufuli. Kama wahuni tanzania ni wengi kuliko wastaarabu, basi Magufuli hapendwi na wengi.
 
Sasa nyie kikundi cha wahuni hapo ufipa msiofika hata mia mkimchukia Magufuli mtampunguzia nini mbele ya Watanzania milion 60?

Watanzania milioni 60 wanalazimishwa kumkubali ndiyo maana unaona kundi la watu wasiojulikana, na chaguzi za nchi zikinajisiwa ili kutoa viongozi wasio na ridhaa ya umma.
 
Ingia mtaani uone hali halisi usidanganyike na vimatusi vya watu mia kutoka Ufipa humu mtandaoni
Watanzania milioni 60 wanalazimishwa kumkubali ndiyo maana unaona kundi la watu wasiojulikana, na chaguzi za nchi zikinajisiwa ili kutoa viongozi wasio na ridhaa ya umma.
 
Hata wao wakenya hawamchukii Magufuli wao wanawalinda watu wao kwa gharama yoyote.
 
Sasa nyie kikundi cha wahuni hapo ufipa msiofika hata mia mkimchukia Magufuli mtampunguzia nini mbele ya Watanzania milion 60?
Walikupo wengi wa team ya kusifu na kuabudu ,wewe siyo wa kwanza kenge period.
 
Back
Top Bottom