Things Magufuli said and Kenyan Media rediculate him only to be proven right by WHO

Things Magufuli said and Kenyan Media rediculate him only to be proven right by WHO

Zungumzia nafsi yako tu Magufuli anapendwa na wafanyakazi wake tu unknown
Mimi binafsi na mpenda Magufuli,nikufundishe kitu usipende sana kusema kitu ukijumisha majority ya watu,kama ni wewe sema mimi simpendi sio sisi hatumpendi na kuna wanachadema wanampemda GPM vizuri tu kuwa Mwangalifu.
 
Usiwalaumu sana japo wana raisi wao wakenya siku zote psychologically wanaona maraisi wa Tanzania kama regional leaders.

A lot of Tanzania decision affect their society whereas their decision bear no impact in Tanzania. Inabidi tuwaelewe tu as extended family.
 
Ingia mtaani uone hali halisi usidanganyike na vimatusi vya watu mia kutoka Ufipa humu mtandaoni

Unadhani sisi tulio humu mitandaoni hatutokei mitaani? Huku mitandaoni ndio sehemu pekee lile kundi lenu la watu wasiojulikana haliwezi kuwafanyizia. Kwenye chaguzi tunaona zinavyonajisiwa kutoa washindi wasio na ridhaa ya umma.
 
So what you are saying is that Tanzania has it's own methods of covid-19 testing? Which test did Magufuli's Son use to test positive and is it widely used in Tanzania and would you care to tell us more?
Tatizo lenu ninyi ni uwezo mdogo wa kufikiria, mnataka tuwasaidieje?. Magufuli hakusema kwamba vipimo vinamatatizo moja kwa moja, alisema hivi;
1)Inawezekana kuna watu pale wanafanya hujuma
2)Inawezekana wanaopima hawana uwezo wa kitaalamu
3)Inawezekana vipimo vinafanya makosa.

Ndio sababu wakuu wa maabara walisimamishwa ili kupisha uchunguzi zaidi. Inawezekana sababu #1&2 ndio zilizosababisha hilo tatizo, baada ya kusimamisha wafanyakazi, huenda hilo tatizo limekwisha. Muhimu ni kusubiri taarifa ya hiyo tume na tuache kutoa majibu toka kichwani kwa kusema Magufuli alisema tatizo lipo katika "testing kits".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi binafsi na mpenda Magufuli,nikufundishe kitu usipende sana kusema kitu ukijumisha majority ya watu,kama ni wewe sema mimi simpendi sio sisi hatumpendi na kuna wanachadema wanampemda GPM vizuri tu kuwa Mwangalifu.
Kabisa mkuu kama yeye anavyompenda Mbowe asifikiri wote tunampenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha tabia za kipunga wewe mwanaume unaandika "chefu chefu " Ndio maana umejificha Chadema Kwasababu wanamtetea watu dizani yako

Siwezi kuwa na kazi kwa wajinga wajinga
Ukiona mtoto analia sana ujue kiboko kimemuingia, Leo kazi unayo.
 
Usiwalaumu sana japo wana raisi wao wakenya siku zote psychologically wanaona maraisi wa Tanzania kama regional leaders.

A lot of Tanzania decision affect their society whereas their decision bear no impact in Tanzania. Inabidi tuwaelewe tu as extended family.

Aaaah, wazee wa PhD fake huku mkiongozwa na Rc mwenye zero.
 
Kenya watu washapiga pesa ya mkopo,halaf nyie kajamba nani,mnakuja kutoa povu kwa rais wetu,hii ni nchi huru na tuna maamuzi yetu,mnatuambia hali mbaya, mi mtaani kwangu hakuna kifo cha corona tangu ianze,poor Kenyans.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom