Zungumzia nafsi yako tu Magufuli anapendwa na wafanyakazi wake tu unknown
Jamaa kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa habari duniani ni dhahiri uliona jinsi uingereza waliamua kutibia watu kutokana na dalili waliozionyesha,na hiyo ndo njia bora kwa mataifa ambayo yako vizuri ki-usalama wa taifa,kama haowezekani kuwa na vifaa vyetu vya kupimia,basi ni kheri kutumia dalili katika kutibia watu...na huo ndo msimamo wa jiwe,symptoms.So what you are saying is that Tanzania has it's own methods of covid-19 testing? Which test did Magufuli's Son use to test positive and is it widely used in Tanzania and would you care to tell us more?
Sasa nyie kikundi cha wahuni hapo ufipa msiofika hata mia mkimchukia Magufuli mtampunguzia nini mbele ya Watanzania milion 60?
Dude watanzania wananyanyaswa kivip?Wakenya nawaambia msipotoshwe na mitandao ya kijamii ya Tanzania kumhusu magufuli.
Msione tunavyomkosoa mkajua hatumpendi la hasha mtakuwa mnajidanganya.
Tunawaangalia mwenendo wenu mnavyowanyanyasa watanzania hapo mpakani
Sisi watanzania magufuli ndio amiri jeshi wetu Jana kaongea kidiplomasia Sana ni Kama onyo kwa mnayoyafanya jitafakarini.
Viva magufuli.
Superbug.
Dogo hii Ligi kubwa utachemka
watoto wote duniani wanazaliwa na mama!Ahaaa mtaweza ligi watoto wa mama nyie.
Ligi kubwa kwa tahira km Wewe
Mwanume unaandika "chefu chefu " bila shaka ni punga Wewe uliejificha Chadema Kwasababu wanakuteteeni
watoto wote duniani wanazaliwa na mama!
AaaaAaaaaaaah hii Ligi huwezi mtafute jambazi mkuu aliyejificha kichakani aje akusaidie.
Good!Sasa nyie kikundi cha wahuni hapo ufipa msiofika hata mia mkimchukia Magufuli mtampunguzia nini mbele ya Watanzania milion 60?
Wahuni ndo hawampendi Magufuli. Kama wahuni tanzania ni wengi kuliko wastaarabu, basi Magufuli hapendwi na wengi.Zungumzia nafsi yako tu Magufuli anapendwa na wafanyakazi wake tu unknown
Sasa nyie kikundi cha wahuni hapo ufipa msiofika hata mia mkimchukia Magufuli mtampunguzia nini mbele ya Watanzania milion 60?
Wahuni ndo hawampendi Magufuli. Kama wahuni tanzania ni wengi kuliko wastaarabu, basi Magufuli hapendwi na wengi.
Watanzania milioni 60 wanalazimishwa kumkubali ndiyo maana unaona kundi la watu wasiojulikana, na chaguzi za nchi zikinajisiwa ili kutoa viongozi wasio na ridhaa ya umma.
Walikupo wengi wa team ya kusifu na kuabudu ,wewe siyo wa kwanza kenge period.Sasa nyie kikundi cha wahuni hapo ufipa msiofika hata mia mkimchukia Magufuli mtampunguzia nini mbele ya Watanzania milion 60?
Walikupo wengi wa team ya kusifu na kuabudu ,wewe siyo wa kwanza kenge period.