Things Samia Suluhu should avoid to do in Kenya

Hata hamuoni aibu kuwa rais wenu anakaribishwa na waziri wa michezo?😂😂
Usichekelee hatari, unamanishi kuwa Uuuuhuru alipokuwa anakuja tz mara nyingi hakukaribishwa ikulu ya Magogoni au Chamwino ila ile tu ya Chato alikuwa anakuja kumuabudu Mfalme wa Afrika? na alikuwa devalued?
 
Mpaka sasa hivi mtwara kuna viwanda vingi vya gesi na zingine zinajengwa.kuna LPG inajengwa pia we are going to be superpower.mkizingua tunawakatia gesi.way to power.
Usisahau pia tunakuza Mahindi Kenya ila Tunanua Mahindi Pia UG na TZ😛Kenya Kuna regions Mingi kumepatikana Gesi Lakini haijaanza kutolewa,
 
Nani anayepanga bei?

1.Mwenye bandari
2.Mwenye mizigo
3. Shipphing agencies....
Ina lingana na nani anauliza, kuna costs tofauti zitazotokana na shipping..... kuna export tax na loading fee kutoka kwa port hadi kwa meli ambayo ni nchi husika inaamua, kuna the actual shipping fee ambayo Shipping lines ndo huamua bei ya usafirishaji kwa meli zao, kuna landing cost na import tax ambayo nchi yako ndo inaamua.... Hio garama yote itaskumiwa muagizaji bidhaa na yote itaitwa shipping cost.

Lakini tunachogusia hapa ni hii nauli ya kusafirisha bidhaa kupitia meli..... Kampuni tofauti za meli ziko na bei zake, yule shipping agent ndo ataamua kampuni gani ni cheaper au nzuri kusafirisha mzigo wako, lakini akishaamua hilo, hana nguvu ya kuchagua ni njia gani mzigo huo utafikishwa kule uendako. Agent akishalipa kampuni ya meli, wao wenyewe wanaamua jinsi gani watafikisha mzigo wako salama. Inawezekana hata meli ikakwama njiani na wakaamua kontena yako isafirishwe na helicopter hadi bandarini, hio si shida yako bora mzigo wako ufike salama salmin.
Shipping line wakiamua ni cheaper mzigo wa Tanzania kutoka Saudi Arabia uende hadi Durban port SA ndo urudi hadi TZ, nyinyi kama Watanzania hamna budi ila kukubali manake wamewarahishia uchukuzi na kupunguza garama ya shipping.
 
Unataka kukolonize mwenye ameshika uchumi wa Tanzania? Are you really normal? Your economy is controlled by Kenya.
Umeshika uchumi Kwa bilioni moja.wakati hiyo bilioni moja tunatoa Sisi kama nchi wenyewe kujenga miundombinu bila kukopa hiyo kwenu ni kiasi kidogo Sana hiyo gesi tunayoenda kuwauzia huenda itatuingizia hicho kiasi cha pesa.
 
Unataka kukolonize mwenye ameshika uchumi wa Tanzania? Are you really normal? Your economy is controlled by Kenya.
Au you crazy?umeshika uchumi Kwa hiyo dolar bilion 1 wakati tunafanya miradi mikubwa za madola mengi alafu zingine tunaendesha wenyewe bila kukopa hicho kiasi ni kidogo Sana.
 
Is that bowing?! Kuja kwenye ziara you call it bowing? Who initiated mazungumzo?
Ahahahahahaha mkuu hawa Wakenya wameanza kuchanganyikiwa, yaani wamemtuma waziri wao Amina Mohammed kuleta mualiko, watu wameitikia mualiko wanajisifu kama sio ujinga ni nini?
 
Lakini Tanzania tunaenda kuwa superpower tuna kila resources ya kuwakolonize Nyinyi.
Alafu ujue Suluhu mwenyewe amejiitia investors Wakenya,Tutanunua Shares karibu Zote kwa hio kampuni za Gesi TZ,Tukimaliza na kununua Tutaanza kujenga Kampuni za Gesi Huku Kenya.Kumbuka Kenya pia tuna Mafuta na Gesi ambayo imepatikana kila Kona ya Nchi.Mnachezwa mukijionea tu😛
 
Usisahau pia tunakuza Mahindi Kenya ila Tunanua Mahindi Pia UG na TZ[emoji14]Kenya Kuna regions Mingi kumepatikana Gesi Lakini haijaanza kutolewa,
Kenya hamna gesi nyingi kama Tanzania au weka data hapa.kwa kifupi Tanzania tuna resources nyingi Kwa hiyo tunaenda kutumia kuwakolonize nayo.
 
Hamna uwezo wa kufanya hivyo.
 
Tunaenda kuwakolonize Kwa kuwauzia gesi kiasi kidogo hamna uwezo wa kumiliki makampuni ya gesi Tanzania.
 
Unataka kukolonize mwenye ameshika uchumi wa Tanzania? Are you really normal? Your economy is controlled by Kenya.
Ahahahahahaha hawa Wakenya wanamatatizo sana ndio maana Magufuli aliwachapa sanaaa, yaani ajira zako elfu 50 unazotoa kwenye nchi yenye watu zaidi ya milioni 50 ndio uwe umeshika uchumi wetu! !!ahahah hawa jamaa hamna kitu
 
Dude, Mombasa port ni kubwa na modern kuliko hio 'modernized Dar port' yenu na bado haina uwezo wa Lamu port kama potential transshipment hub. Kama hizo kampuni zenu za meli zinataka zibaki kua relevant basi nazo utaziona zikitua hapo Lamu kuchukua mizigo ya Dar.
Hebu niambie ni kampuni gani ya meli kubwa itakubali kucheleweshwa kwa siku tano pale Mombasa au siku saba pale Dar ikingojea msongamano wa meli ili ishukishe mizigo yake, Wakati wanaweza peleka mizigo hio pale Lamu na baada ya masaa manane mizigo yao yote ya Kenya na Tanzania imeshukishwa, meli hio kubwa ifate kwenda zake ituachie mizigo yetu tujisort wenyewe na meli ndogo ndogo zikitupelekea mizigo kwa kila bandari husika!???
 
Maneno mengi.

Ni nchi husika ndiyo inadetermine kwa kiasi kikubwa sana gharama za kutumia bandari yake.
Market forces zitapush decision-making lakini at the end of the day, nchi husika ndiyo itaamus gharama za bandari zake.
Baada ya hapo, shippi agencies zitachagua then wateja.

Sasa wewe unataka kuleta blah blah za Sri Lanka na Oman.
Hebu tuacheni kwanza.
 
Usisahau pia tunakuza Mahindi Kenya ila Tunanua Mahindi Pia UG na TZ😛Kenya Kuna regions Mingi kumepatikana Gesi Lakini haijaanza kutolewa,
Mahindi gani hayo labda yale ya Ruto, ambayo wakulima Wakenya walikuwa wanasema kanunua maeneo nje ya nchi kifisadi ahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…