Things Samia Suluhu should avoid to do in Kenya

Unataka kumaanisha Panama itashusha mizigo Lamu for Transhipment,Lakini za TZ zilizobaki ziletwe DAR,Kwani munanunua Mizigo Ngapi????😃
 
Ni mataga huyo😎
 
Mahindi gani hayo labda yale ya Ruto, ambayo wakulima Wakenya walikuwa wanasema kanunua maeneo nje ya nchi kifisadi ahahahah
we produce Maize more than TZ ila twapenda Kula Ugali sana Kenya,mpaka inabidi tununue mengine TZ na UG umeshika,Mkituchezea pia Tutanunua Mexico,lazima Tule Ugali😛😛😛
 
Angalia huyu bonzo lala naye, hili hapa ndo swali uliouliza 👇

Nani anayepanga bei?

1.Mwenye bandari
2.Mwenye mizigo
3. Shipphing agencies....

Haukuuliza nani anadetermine bei ya kutumia bandari lake, umeuliza tu "nani anapanga bei" ..... Of which mimi nimekuelezea kwamba tunaongelea gharama ya bei ya kampuni za meli. Hio garama ya bei ya kutumia bandari yenu ni irrelevant kwa huu mjadala, Bei hio mtaamua wenyewe na mtajipanga nayo nyinyi na impoters wenu. Tunacho determine hapa ni mzigo huo utatumia njia gani kufika hapo bandarini kwenu na kama mko na control yoyote kuzulia mzigo wa Tz kupelekwa Lamu kwamza kabla kuletwa TZ!? Next time usidakie hoja bila kujua watu wanaongelea kuhusu nini!
 
Lazima tutamiliki[emoji14]Money works like Magic Ndugu zanguni
Hamna uwezo wa kumiliki nawahakikishia.hela gani mnayowakati watu asilimia 40 ni masikini wa kutupwa alafu uchumi wenu unamilikiwa na watu wachache.alafu kwenye swala la mabilionare Tanzania ndo inamabilionare wengi kuliko nchi yoyote afrika mashariki.makampuni yanayoweza kuinvest kwenye gesi ya Tanzania ni kutoka nchi kubwa kama Norway,marekani au France au China na ndo yanayowekeza Tanzania.
 
we produce Maize more than TZ ila twapenda Kula Ugali sana Kenya,mpaka inabidi tununue mengine TZ na UG umeshika,Mkituchezea pia Tutanunua Mexico,lazima Tule Ugali😛😛😛
Hakuna lolote mtaendelea kuagiza mahindi mpaka dunia inaisha, ardhi yote mmewaachia watu wachache, nyie labda mlime juu ya rami ahahahah
 
tatizo si ukubwa bali ni modern infrastructure to allow timely evacuation of cargo! we have bitten u with ur Mombasa port as far as EACOP and we will beat u as far as transhipment hub is concerned just look at the distance btn Dar port and her ports while electrical SGR is in works! For now i will ignore u!
 
Unakijua kiswahili vizuri?
Kupanga Bei ni kudetermine Bei.

Kama ikiwa cheaper kutumia Lamu, utatumia tu.
Kama ikiwa cheaper Dar, utatumia Dar.

Wewe umesema nchi haipangi Bei, na mimi nakwambia inapanga.

Na nchi inaweza kubreak-even au hata kula hasara kwenye Bandari ili kuokoa sekta nyingine.

Narudia, nchi inapanga Bei na kudetermine maritime routes. Biashara ya usafirishaji ipo extremely political.

Narudia tena na tena you are wrong!!
 
NAelewa kiswahili vizuri kabisa, wewe ndo hauelewi naongelea kuhusu njambo gani.

Ngoja nikuulize swali simple, nani anadetermine bei ya usafirishaji kotena juu ya meli? Yani kampuni kama Maersk, COSCO, CMA-CGM, Evergreen, nani ana control nauli zao za kusafirisha kontena?
Wachana na bandari, imagine hii kontena imeshatoka bandarini iko kwa meli juu ya maji, ni nani ndo anapanga bei ya usafirishaji hapo majini kwenye international waters?
 
Suluhu Mwenyewe amesema 40% of Investors in TZ Ni Wakenya.Tunataka kupandisha hio 40% ikuwe 90%,endelea kusema hatuna uwezo
 
You are completely correct but watakupinga. Their reasoning capacity is quite low. Don't expect much from these people.
 
Hii hapa list ya meli zenye uwezo mkubwa zaidi





Number 13, 14






Kama unavyoona meli hizo zote karibia hamsini ziko kwa orodha ya biggest container ships interms of Capacity. Hakuna hata meli moja ya aina hio ishawahi kufika hapa barani Africa manake hakuna bandari hata moja inaweza kupokea meli ya aina hio, inavyoona hapo meli zote ziko na ukubwa wa angalau 399 meters long!
Jambo lengine, meli hizo zinahitaji kina cha bandari kiwe angalau 16.6 meters, Both Mombasa port na Dar port ziko less than 16 meters!

Lamu pekee ndo itakua na uwezo wa kupokea meli kama hizi!, berth moja iko na urefu wa 400 meters na kina chake ni 17.5 Meters! Kuna garama kubwa sana ya economies of scale inaweza kupunguza nauli ya usafirishaji kama meli moja kubwa (badala ya meli sita ndogo) inaweza kutoka China na mizigo yote ya Tanzania, Kenya, Mozambique na kuileta Lamu, alafu kutoka lamu hapa karibu ndo tutumie meli ndogo zile za kama 250 meters ambazo hua zinakuja huku.
 
Suluhu Mwenyewe amesema 40% of Investors in TZ Ni Wakenya.Tunataka kupandisha hio 40% ikuwe 90%,endelea kusema hatuna uwezo
Kenya ni nchi ya tano kuwa na investors tz lakini afrika mashariki ni ya kwanza.hata hiyo dolor billion moja bado ni ndogo Sana wakati sekta moja ya utalii inaingiza Zaid ya mara 2 ya kiasi hicho mnachotuingizia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…