Things Samia Suluhu should avoid to do in Kenya

Things Samia Suluhu should avoid to do in Kenya

Maneno mengi.

Ni nchi husika ndiyo inadetermine kwa kiasi kikubwa sana gharama za kutumia bandari yake.
Market forces zitapush decision-making lakini at the end of the day, nchi husika ndiyo itaamus gharama za bandari zake.
Baada ya hapo, shippi agencies zitachagua then wateja.

Sasa wewe unataka kuleta blah blah za Sri Lanka na Oman.
Hebu tuacheni kwanza.
Unataka kumaanisha Panama itashusha mizigo Lamu for Transhipment,Lakini za TZ zilizobaki ziletwe DAR,Kwani munanunua Mizigo Ngapi????😃
 
Sawa mzee. Rais Samia Suluhu hajui kwamba kuna Mlazy fulani JF ambaye amekerwa na her visit to Kenya. Hajui kwamba kuna mtu anaitwa Geza Ulole na wala hatasoma hili bandiko lako la uchwara.

Tukija kwenye masuala uliyoandika:
1. Kwenye gas pipeline between Tanga and Mombasa, uhusiano kati ya Kenya na Tanzania kwa sasa ni mbaya mno kwa hivyo sioni pipeline hio ikijengwa. Isitoshe pesa ya ujenzi itatoka wapi?
2. Kwenye suala la Kenya kusign trade agreement na Europe, kumbuka Kenya iliingia middle income zamani kuwashinda. Kenya iliingia middle income category in 2014. Halafu Kenya inategemea Europe kama mnunuzi mkubwa wa bidhaa zetu. Maua tunayauza nchi nyingi za Europe hususan Netherlands na Chai tunayauza nchi nyingi ikiwemo UK. Vegetables pia tunayauza Europe. Kwa hivyo Kenya inategemea sana market ya Europe. Nchi za LDC huwa zinapatiwa market free access to EU through a scheme called "everything but arms". Maanake ni kwamba nchi za LDC zinaweza kuexport au kuimport kila kitu to and from EU countries bila kulipa tariffs zozote isipokuwa silaha. Yaani LDC countries zinapatiwa tariff-free and quota-free acess to the EU market. Lakini Kenya ilipokuwa middle income ilibidi tusign agreement mpya na EU ili bidhaa zetu ziendelee kuaccess EU market tariff-free and quota-free. Nyinyi TZ by the way you don't export alot of products to the EU kama sisi ndio maana hamjasign any trade agreement na EU licha ya nyinyi kuingia middle income status mwaka uliopita. Hamna haraka na kusign agreement mpya na EU kwa sababu hamfanyi biashara kwa wingi na EU. Sisi tungepoteza pesa nyingi sana kwa kulipia tariffs kwa wingi kama hatungesign hio agreement. Haya ni mambo ya kiuchumi tu na Kenya ilikuwa inaprotect interests zake na wala Kenya haikuwa na ubaya na Tanzania ilipotia saini agreement na EU.
Ni mataga huyo😎
 
Mahindi gani hayo labda yale ya Ruto, ambayo wakulima Wakenya walikuwa wanasema kanunua maeneo nje ya nchi kifisadi ahahahah
we produce Maize more than TZ ila twapenda Kula Ugali sana Kenya,mpaka inabidi tununue mengine TZ na UG umeshika,Mkituchezea pia Tutanunua Mexico,lazima Tule Ugali😛😛😛
 
Maneno mengi.

Ni nchi husika ndiyo inadetermine kwa kiasi kikubwa sana gharama za kutumia bandari yake.
Market forces zitapush decision-making lakini at the end of the day, nchi husika ndiyo itaamus gharama za bandari zake.
Baada ya hapo, shippi agencies zitachagua then wateja.

Sasa wewe unataka kuleta blah blah za Sri Lanka na Oman.
Hebu tuacheni kwanza.
Angalia huyu bonzo lala naye, hili hapa ndo swali uliouliza 👇

Nani anayepanga bei?

1.Mwenye bandari
2.Mwenye mizigo
3. Shipphing agencies....

Haukuuliza nani anadetermine bei ya kutumia bandari lake, umeuliza tu "nani anapanga bei" ..... Of which mimi nimekuelezea kwamba tunaongelea gharama ya bei ya kampuni za meli. Hio garama ya bei ya kutumia bandari yenu ni irrelevant kwa huu mjadala, Bei hio mtaamua wenyewe na mtajipanga nayo nyinyi na impoters wenu. Tunacho determine hapa ni mzigo huo utatumia njia gani kufika hapo bandarini kwenu na kama mko na control yoyote kuzulia mzigo wa Tz kupelekwa Lamu kwamza kabla kuletwa TZ!? Next time usidakie hoja bila kujua watu wanaongelea kuhusu nini!
 
Lazima tutamiliki[emoji14]Money works like Magic Ndugu zanguni
Hamna uwezo wa kumiliki nawahakikishia.hela gani mnayowakati watu asilimia 40 ni masikini wa kutupwa alafu uchumi wenu unamilikiwa na watu wachache.alafu kwenye swala la mabilionare Tanzania ndo inamabilionare wengi kuliko nchi yoyote afrika mashariki.makampuni yanayoweza kuinvest kwenye gesi ya Tanzania ni kutoka nchi kubwa kama Norway,marekani au France au China na ndo yanayowekeza Tanzania.
 
we produce Maize more than TZ ila twapenda Kula Ugali sana Kenya,mpaka inabidi tununue mengine TZ na UG umeshika,Mkituchezea pia Tutanunua Mexico,lazima Tule Ugali😛😛😛
Hakuna lolote mtaendelea kuagiza mahindi mpaka dunia inaisha, ardhi yote mmewaachia watu wachache, nyie labda mlime juu ya rami ahahahah
 
Dude, Mombasa port ni kubwa na modern kuliko hio 'modernized Dar port' yenu na bado haina uwezo wa Lamu port kama potential transshipment hub. Kama hizo kampuni zenu za meli zinataka zibaki kua relevant basi nazo utaziona zikitua hapo Lamu kuchukua mizigo ya Dar.
Hebu niambie ni kampuni gani ya meli kubwa itakubali kucheleweshwa kwa siku tano pale Mombasa au siku saba pale Dar ikingojea msongamano wa meli ili ishukishe mizigo yake, Wakati wanaweza peleka mizigo hio pale Lamu na baada ya masaa manane mizigo yao yote ya Kenya na Tanzania imeshukishwa, meli hio kubwa ifate kwenda zake ituachie mizigo yetu tujisort wenyewe na meli ndogo ndogo zikitupelekea mizigo kwa kila bandari husika!???
tatizo si ukubwa bali ni modern infrastructure to allow timely evacuation of cargo! we have bitten u with ur Mombasa port as far as EACOP and we will beat u as far as transhipment hub is concerned just look at the distance btn Dar port and her ports while electrical SGR is in works! For now i will ignore u!
 
Angalia huyu bonzo lala naye, hili hapa ndo swali uliouliza 👇

Haukuuliza nani anadetermine bei ya kutumia bandari lake, umeuliza tu "nani anapanga bei" ..... Of which mimi nimekuelezea kwamba tunaongelea gharama ya bei ya kampuni za meli. Hio garama ya bei ya kutumia bandari yenu ni irrelevant kwa huu mjadala, Bei hio mtaamua wenyewe na mtajipanga nayo nyinyi na impoters wenu. Tunacho determine hapa ni mzigo huo utatumia njia gani kufika hapo bandarini kwenu na kama mko na control yoyote kuzulia mzigo wa Tz kupelekwa Lamu kwamza kabla kuletwa TZ!? Next time usidakie hoja bila kujua watu wanaongelea kuhusu nini!
Unakijua kiswahili vizuri?
Kupanga Bei ni kudetermine Bei.

Kama ikiwa cheaper kutumia Lamu, utatumia tu.
Kama ikiwa cheaper Dar, utatumia Dar.

Wewe umesema nchi haipangi Bei, na mimi nakwambia inapanga.

Na nchi inaweza kubreak-even au hata kula hasara kwenye Bandari ili kuokoa sekta nyingine.

Narudia, nchi inapanga Bei na kudetermine maritime routes. Biashara ya usafirishaji ipo extremely political.

Narudia tena na tena you are wrong!!
 
NAelewa kiswahili vizuri kabisa, wewe ndo hauelewi naongelea kuhusu njambo gani.

Ngoja nikuulize swali simple, nani anadetermine bei ya usafirishaji kotena juu ya meli? Yani kampuni kama Maersk, COSCO, CMA-CGM, Evergreen, nani ana control nauli zao za kusafirisha kontena?
Wachana na bandari, imagine hii kontena imeshatoka bandarini iko kwa meli juu ya maji, ni nani ndo anapanga bei ya usafirishaji hapo majini kwenye international waters?
 
Hamna uwezo wa kumiliki nawahakikishia.hela gani mnayowakati watu asilimia 40 ni masikini wa kutupwa alafu uchumi wenu unamilikiwa na watu wachache.alafu kwenye swala la mabilionare Tanzania ndo inamabilionare wengi kuliko nchi yoyote afrika mashariki.makampuni yanayoweza kuinvest kwenye gesi ya Tanzania ni kutoka nchi kubwa kama Norway,marekani au France au China na ndo yanayowekeza Tanzania.
Suluhu Mwenyewe amesema 40% of Investors in TZ Ni Wakenya.Tunataka kupandisha hio 40% ikuwe 90%,endelea kusema hatuna uwezo
 
Ina lingana na nani anauliza, kuna costs tofauti zitazotokana na shipping..... kuna export tax na loading fee kutoka kwa port hadi kwa meli ambayo ni nchi husika inaamua, kuna the actual shipping fee ambayo Shipping lines ndo huamua bei ya usafirishaji kwa meli zao, kuna landing cost na import tax ambayo nchi yako ndo inaamua.... Hio garama yote itaskumiwa muagizaji bidhaa na yote itaitwa shipping cost.

Lakini tunachogusia hapa ni hii nauli ya kusafirisha bidhaa kupitia meli..... Kampuni tofauti za meli ziko na bei zake, yule shipping agent ndo ataamua kampuni gani ni cheaper au nzuri kusafirisha mzigo wako, lakini akishaamua hilo, hana nguvu ya kuchagua ni njia gani mzigo huo utafikishwa kule uendako. Agent akishalipa kampuni ya meli, wao wenyewe wanaamua jinsi gani watafikisha mzigo wako salama. Inawezekana hata meli ikakwama njiani na wakaamua kontena yako isafirishwe na helicopter hadi bandarini, hio si shida yako bora mzigo wako ufike salama salmin.
Shipping line wakiamua ni cheaper mzigo wa Tanzania kutoka Saudi Arabia uende hadi Durban port SA ndo urudi hadi TZ, nyinyi kama Watanzania hamna budi ila kukubali manake wamewarahishia uchukuzi na kupunguza garama ya shipping.
You are completely correct but watakupinga. Their reasoning capacity is quite low. Don't expect much from these people.
 
tatizo si ukubwa bali ni modern infrastructure to allow timely evacuation of cargo! we have bitten u with ur Mombasa port as far as EACOP and we will beat u as far as transhipment hub is concerned just look at the distance btn Dar port and her ports while electrical SGR is in works! For now i will ignore u!
Hii hapa list ya meli zenye uwezo mkubwa zaidi

1620141166317.png

Number 13, 14

1620141237426.png

Kama unavyoona meli hizo zote karibia hamsini ziko kwa orodha ya biggest container ships interms of Capacity. Hakuna hata meli moja ya aina hio ishawahi kufika hapa barani Africa manake hakuna bandari hata moja inaweza kupokea meli ya aina hio, inavyoona hapo meli zote ziko na ukubwa wa angalau 399 meters long!
Jambo lengine, meli hizo zinahitaji kina cha bandari kiwe angalau 16.6 meters, Both Mombasa port na Dar port ziko less than 16 meters!

Lamu pekee ndo itakua na uwezo wa kupokea meli kama hizi!, berth moja iko na urefu wa 400 meters na kina chake ni 17.5 Meters! Kuna garama kubwa sana ya economies of scale inaweza kupunguza nauli ya usafirishaji kama meli moja kubwa (badala ya meli sita ndogo) inaweza kutoka China na mizigo yote ya Tanzania, Kenya, Mozambique na kuileta Lamu, alafu kutoka lamu hapa karibu ndo tutumie meli ndogo zile za kama 250 meters ambazo hua zinakuja huku.
 
Suluhu Mwenyewe amesema 40% of Investors in TZ Ni Wakenya.Tunataka kupandisha hio 40% ikuwe 90%,endelea kusema hatuna uwezo
Kenya ni nchi ya tano kuwa na investors tz lakini afrika mashariki ni ya kwanza.hata hiyo dolor billion moja bado ni ndogo Sana wakati sekta moja ya utalii inaingiza Zaid ya mara 2 ya kiasi hicho mnachotuingizia.
 
Back
Top Bottom