Things Samia Suluhu should avoid to do in Kenya

Things Samia Suluhu should avoid to do in Kenya

subiri sasa uone jinsi tutakavyo ingia kwa kishindo.... tutahakikisha tumetikisa wavu kila kona
Bro Sisi Watanzania huwa ni Tanzania Kwanza usidhani mambo yatabadilika Sana.hata mama hapo kabeba Tanzania kwenye akili yake.wewe nafikiri unawajua Watanzania vizuri mkileta wizi ni Pini Tu mtapigwa.
 
Mama hapo anawasalimia Kwa jina la muungano wa Tanzania.msifikiri anafanya Kazi Kwa maslahi ya wakenya.
 
Mnaotembea hadi wapi, Morogoro? [emoji1] Mtu awaye yote ndio nini sasa, hata kiswahili pia kinakukanganya? Tumia kisukuma basi. Watu ambao tumetembea kweli huwa hatusemi kila siku na kwenye kila sentensi kwamba tumetembea.

Unaona sasa unavyodhihirisha kuwa wewe ni mtoto usiye na uelewa wowote 🤣 🤣 🤣 .
Sikiliza bwana mdogo, hapo nimetumia kiswahili cha wahenga au wakongwe.
Ngoja nikupe vipande vingine,
U wapi ujuzi wako uao usema.
Yu wapi rais uhuru kumpokea mgeni uwanjani?
Mtu awaye yote hapaswi kupita barabara anayopita rais Samia.
 
Naona umepata memo, subject matter ni comment zangu. [emoji41] Ndio maana hadi sasa hivi bado hujajua mada ya uzi huu ni ipi. [emoji57]

Jibuni hoja alizoweka Geza Ulole.
Halafu alisahau kuweka la kuzuia magari ya utalii ya kenya kupita mpaka wa Bologoja kuingia the Mighty Serengeti.
Hili lipigiwe mstari na kusilibwa kwa zege.
 
Unaona sasa unavyodhihirisha kuwa wewe ni mtoto usiye na uelewa wowote [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] .
Sikiliza bwana mdogo, hapo nimetumia kiswahili cha wahenga au wakongwe.
Ngoja nikupe vipande vingine,
U wapi ujuzi wako uao usema.
Yu wapi rais uhuru kumpokea mgeni uwanjani?
Mtu awaye yote hapaswi kupita barabara anayopita rais Samia.
Sawa babu. Mhenga wa we are always stick on context. Hapa ndio ume'stick' kwenye context ipi?
 
Bro Sisi Watanzania huwa ni Tanzania Kwanza usidhani mambo yatabadilika Sana.hata mama hapo kabeba Tanzania kwenye akili yake.wewe nafikiri unawajua Watanzania vizuri mkileta wizi ni Pini Tu mtapigwa.
Pigeni Pini pia Nyinyi mtapigwa,This Time Kenya was fed up with TZ if you don't know
 
na kulamba miguu kote kwa Museveni pipeline imeenda Tanzania? 🤣 🤣 🤣 ☝️
Mradi ambao ujenzi wake bado haujaanza? Nasikia kwamba lazima parliament za UG na TZ zipitishe sheria fulani kwanza kabla ujenzi kuanza.
 
"*Bowing to any trade agreements outside existing East Africa common markets framework that protectionist Kenya deliberately subotaged;" Umesahihisha wapi? Hujui kuandika jina SABOTAGE?
siku nyingine uwe na adabu si kukosoa kosoa ilhali hujawahi andika hata opinion moja tukakugua! na pia unajua naweza andika vizuri! Kuna sababu kwanini Uhuru ana Press secretary wa kuandika briefings zake kabla hazijawa published! Watu kama wakina Ndii na Makau wanaweza andika wenyewe kwavile wao hiyo ni career yao wanasoma na kuandika kila siku i.e. academicians! Mie kwa taarifa yako lugha yangu ya kikazi ya kila siku si Kiswahili wala Kiingereza! sasa pata jibu!
 
Pigeni Pini pia Nyinyi mtapigwa,This Time Kenya was fed up with TZ if you don't know
Hamna uwezo wa kufanya chochote refer mambo yaliyotokea huko nyuma mlisarender.mkajua kwamba Tanzania sio nchi ya mchezocheZo.we are stronger than you.
 
na kulamba miguu kote kwa Museveni pipeline imeenda Tanzania? 🤣 🤣 🤣 ☝️
Imeenda wapi Tunaingoja hapahapa,Museveni anaskizia hizo Ban za Mahindi na Bado,anajuta na ata ukiangalia hio process iko na Setbacks Mingi,inaonesha mpaka wakuu Uganda hawana Imani nayo
 
Mradi ambao ujenzi wake bado haujaanza? Nasikia kwamba lazima parliament za UG na TZ zipitishe sheria fulani kwanza kabla ujenzi kuanza.
wasicheze na 🇰🇪🔥🔥we can't let any Business pass us just like that🤣🤣🤣
 
Hamna uwezo wa kufanya chochote refer mambo yaliyotokea huko nyuma mlisarender.mkajua kwamba Tanzania sio nchi ya mchezocheZo.we are stronger than you.
wacha nkuambie Tulianza na Kuban mabithaa za TZ kwanza ban ya Mahindi na Glass,Ziliwauma sana😛 Na Bado Uhuru alikwa apige Ban zingine Suluhu ikabidi ajisalimishe kwa Baba😃
 
Back
Top Bottom