Things Samia Suluhu should avoid to do in Kenya

wacha nkuambie Tulianza na Kuban mabithaa za TZ kwanza ban ya Mahindi na Glass z,sana😛 Na Bado Uhuru alikwa apige Ban zingine Suluhu ikabidi ajisalimishe kwa Baba😃
Wewe una BAN wakati wenzako WANACHOMA
 
wasicheze na 🇰🇪🔥🔥we can't let any Business pass us just like that🤣🤣🤣
Malazy walikuwa wanadhani eti ujenzi unaanza mara moja. Their parliaments have to pass a petroleum law first. Na unajua jinsi parliaments za Africa huwa zinajikokota kama mzee kobe.
 
Wewe una BAN wakati wenzako WANACHOMA
Mtachoma mangapi🤣🤣 Sisi Uhuru kila akiamka na mguu ya left alikuwa akiban kitu Cha TZ😛Mlijifanya wajuaji tukacheza Game yenu,Lakini nyi Bado werevu mkanusia hio Game mukakuja kurekebisha na president Suluhu🔥🔥
 
Magufuli alifanikiwa kuitia adabu Kenya huyu Mama asije akawachekea hawa, dawa yao ni weka tuweke
takwimu za mwaka 2016 zinasema Kenya imewekeza makampuni 529 ndani ya Tanzania dhidi ya kampuni 23 za Tanzania ndani ya Kenya. nyie mna lipi la maana la kujibu makombora kutoka kwa Wakenya?
mkuu, there is a reason why Kenya is the 2nd most aggressive country in this continent after Nigeria.
 
Malazy walikuwa wanadhani eti ujenzi unaanza mara moja. Their parliaments have to pass a petroleum law first. Na unajua jinsi parliaments za Africa huwa zinajikokota kama mzee kobe.
Hehehe watajua hawajui,Kwanza Parliament ya UG haitaki hayo mambo kabisa,TZ isicheze na Biashara za Kenya Tena🇰🇪🔥🔥
 
takwimu za mwaka 2016 zinasema Kenya imewekeza makampuni 529 ndani ya Tanzania dhidi ya kampuni 23 za Tanzania ndani ya Kenya. nyie mna lipi la maana la kujibu makombora kutoka kwa Wakenya?
mkuu, there is a reason why Kenya is the 2nd most aggressive country in this continent after Nigeria.
🇰🇪🔥🔥
 
siku nyingine uwe na adabu si kukosoa kosoa ilhali hujawahi andika hata opinion moja tukakugua! na pia unajua naweza andika vizuri! Kuna sababu kwanini Uhuru ana Press secretary wa kuandika briefings zake kabla hazijawa published! Watu kama wakina Ndii na Makau wanaweza andika wenyewe kwavile wao hiyo ni career yao wanasoma na kuandika kila siku i.e. academicians! Mie kwa taarifa yako lugha yangu ya kikazi ya kila siku si Kiswahili wala Kiingereza! sasa pata jibu!
Kubali kurekebishwa basi jombaa. In my opinion, if you are not proficient in the languages you use, be it swahili, english or any other language. Then the only way you can improve is by paying attention to all those who try to school you. Sio kujifanya kaka sungura na janja janja zako za peni mbili.

Alafu kuelewa lugha zaidi ya moja haimaanishi kwamba usitumie lugha zenyewe kwa ufasaha. I speak other foreign languages and I always ensure I do it right or I don't do it at all. That right there is the hallmark of an educated mind.
 
takwimu za mwaka 2016 zinasema Kenya imewekeza makampuni 529 ndani ya Tanzania dhidi ya kampuni 23 za Tanzania ndani ya Kenya. nyie mna lipi la maana la kujibu makombora kutoka kwa Wakenya?
mkuu, there is a reason why Kenya is the 2nd most aggressive country in this continent after Nigeria.
Toeni makampuni yenu hayo uone kama kuna Mtanzania atakufa njaa, makampuni yenyewe hayana madhara ata yakiondoka, ndio maana Magufuli akawa anafanya atakalo kwasababu anajua udhaifu huu
 
Mtachoma mangapi🤣🤣 Sisi Uhuru kila akiamka na mguu ya left alikuwa akiban kitu Cha TZ😛Mlijifanya wajuaji tukacheza Game yenu,Lakini nyi Bado werevu mkanusia hio Game mukakuja kurekebisha na president Suluhu🔥🔥
Ahahahahahaha Samia kaalikwa kenya, na Uhuru ili wazungumze mambo ni magumu , sasa ulitaka akatae? Amina Mohammed alikuja ikulu Dar es Salaam kuleta mualiko, mama ni muungwana amekubali
 
Toeni makampuni yenu hayo uone kama kuna Mtanzania atakufa njaa, makampuni yenyewe hayana madhara ata yakiondoka, ndio maana Magufuli akawa anafanya atakalo kwasababu anajua udhaifu huu
Hamtakufa Mtakuwa the poorest Country in the world,Ata basic manufacturing of goods hamtoweza😛 We are your Big Brother,Tulikuwa tumechoka na Nyie mpaka Investers kutoka Kenya wakaanza kufunganisha Virago,Na marafiki zake wa Europe pia wakaanza kufunganisha Virago.President Advisers wakaona mambo yamezidi Unga wakamtuma President Suluhu,awasuluhishie haya mambo
 
Hiyo haikuwa mualiko,Who told you that????😃
 
Hamtakufa Mtakuwa the poorest Country in the world,Ata basic manufacturing of goods hamtoweza😛 We are your Big Brother,Tulikuwa tumechoka na Nyie mpaka Investers kutoka Kenya wakaanza kufunganisha Virago,Na marafiki zake wa Europe pia wakaanza kufunganisha Virago.President Advisers wakaona mambo yamezidi Unga wakamtuma President Suluhu,awasuluhishie haya mambo
Angaliaaa huyu mnajisifia ujinga mkiwa huko kwenu, rahisi kabisa toeni vikampuni vyenu uchwara, uone kama kuna mtu atakufa njaa, HALAFU na kurekebisha MAMA KAALIKWA na KENYATA , na alieleta mualiko ni AMINA MOHAMMED, sasa hapa sijui nani ndie alietaka mazungumzo ahahahahahaha
 
Toeni makampuni yenu hayo uone kama kuna Mtanzania atakufa njaa, makampuni yenyewe hayana madhara ata yakiondoka, ndio maana Magufuli akawa anafanya atakalo kwasababu anajua udhaifu huu
more than 50,000 people are directly employed in those companies. what are you trynna say?
 
Angaliaaa huyu mnajisifia ujinga mkiwa huko kwenu, rahisi kabisa toeni vikampuni vyenu uchwara, uone kama kuna mtu atakufa njaa, HALAFU na kurekebisha MAMA KAALIKWA na KENYATA , na alieleta mualiko ni AMINA MOHAMMED, sasa hapa sijui nani ndie alietaka mazungumzo ahahahahahaha
Kama hamkuzitaka hizo Biashara mngezipiga Ban,alafu Nani kakwambia ATI Suluhu alialikwa na Kenyatta,Uliskia wapi wwe???🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom