Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Yaani niende youtube nikutafutie habari? I am too busy for that. Nenda kwenye ile signing ceremony iliyofanyika UG kisha sikiliza speech ya petroleum CS wa UG.Lete source ya hii habari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani niende youtube nikutafutie habari? I am too busy for that. Nenda kwenye ile signing ceremony iliyofanyika UG kisha sikiliza speech ya petroleum CS wa UG.Lete source ya hii habari
Yaani nchi yenye watu zaidi ya milioni 50, unatutisha na viajira vyako elfu 50, aiseeee nyie Wakenya mna matatizo, Ajira zenyewe mnalipa watu laki mbili, ahahahha tumewaruhusu ondokenimore than 50,000 people are directly employed in those companies. what are you trynna say?
Ilituuuma wapi wakati tuliwapiga ban masaa machache baadaye mkatuma watu Sisi hautaki shobo mkatuma watu.kuhusu mahindi Sisi tunasoko kubwa ndo maana tulitulia hatukuja kwenu kulialia.wacha nkuambie Tulianza na Kuban mabithaa za TZ kwanza ban ya Mahindi na Glass,Ziliwauma sana[emoji14] Na Bado Uhuru alikwa apige Ban zingine Suluhu ikabidi ajisalimishe kwa Baba[emoji2]
Kwa mfano mnachuma wapi ni Pini Tu mkileta ujambazi.Tanzania ni shamba la bibi. tunachuma kadri ya uwezo wetu
Aisee wewe jamaa ni Zero kabisa ilikuwa April 10 2021, Dr Amina na wenzake walifikisha ujumbe wa mualiko kwa SamiaKama hamkuzitaka hizo Biashara mngezipiga Ban,alafu Nani kakwambia ATI Suluhu alialikwa na Kenyatta,Uliskia wapi wwe???🤣🤣🤣🤣
mbona ipo kampuni ya maziwa kutoka Kenya muliyoitilia figisu figisu kwa kutaka wawajengee kiwanda cha maziwa hadi kuwafukuza mwaka 2009. mwaka wa 2013 muliona mambo hayaendi ikabidi muwaite tena kwa kuwabembeleza.Yaani nchi yenye watu zaidi ya milioni 50, unatutisha na viajira vyako elfu 50, aiseeee nyie Wakenya mna matatizo, Ajira zenyewe mnalipa watu laki mbili, ahahahha tumewaruhusu ondokeni
Kumbe unaskizanga KTN Kwani TZ hakuna channels Zenu🤣🤣🤣
529 > 23Kwa mfano mnachuma wapi ni Pini Tu mkileta ujambazi.
Kama hauna source kaa pembeni, hili ni jukwaa la heshima , ukihitajika kuthibitisha ni lazima uthibitisheYaani niende youtube nikutafutie habari? I am too busy for that. Nenda kwenye ile signing ceremony iliyofanyika UG kisha sikiliza speech ya petroleum CS wa UG.
Watu elfu 50, kwenye watu zaidi ya milioni 50 ahahahaha529 > 23
hauezi hata ukijaribu
Kwani chato haipo Tanzania?Hii ilikua chato we mama
Huyo alikuwa kikwete, mwanaume kaingia 2015 Magufuli, huyu ndio aliejua kumitia adabumbona ipo kampuni ya maziwa kutoka Kenya muliyoitilia figisu figisu kwa kutaka wawajengee kiwanda cha maziwa hadi kuwafukuza mwaka 2009. mwaka wa 2013 muliona mambo hayaendi ikabidi muwaite tena kwa kuwabembeleza.
usitake nifukunyue madudu ambayo hutayapenda
chukulia hapo kila mmoja ana mke na watoto wanne. mulivyo wavivu na kujikita kwenye ujamaa, unapata mtu mmoja amebeba kijiji kizima yeye ndio tegemeziWatu elfu 50, kwenye watu zaidi ya milioni 50 ahahahaha
Magu alijaribu, lakini alikuwa kishipa na ilimshinda hivi sasa hali imekua ngumu kitaa. Mama amekuja kulegezaHuyo alikuwa kikwete, mwanaume kaingia 2015 Magufuli, huyu ndio aliejua kumitia adabu
Soko gani Sisi Ndio Soko ya Mahindi,Ugali tunatwanga kutwanga😛 Nchi zingine mnazo pakiana nazo Ni za wakulima Kama Nyinyi hawataki products za Shambani🤣🤣🤣🤣Ilituuuma wapi wakati tuliwapiga ban masaa machache baadaye mkatuma watu Sisi hautaki shobo mkatuma watu.kuhusu mahindi Sisi tunasoko kubwa ndo maana tulitulia hatukuja kwenu kulialia.
Wacha upumbavu. Nimeshakupatia source nenda katufute.Kama hauna source kaa pembeni, hili ni jukwaa la heshima , ukihitajika kuthibitisha ni lazima uthibitishe
Si mgepiga Ban,Nakumbuka Zamani TZ ilipofunga mipaka Mukawa Maskini wa kutupa mpaka mkafungua mipaka Tena,without Kenya you are a Shit hole Country 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aisee wewe jamaa ni Zero kabisa ilikuwa April 10 2021, Dr Amina na wenzake walifikisha ujumbe wa mualiko kwa Samia
Sasa mama ameitikia wito mnasema sisi ndio tumeenda wenyewe ahahahah (paragraph ya 5 ndio mualiko ulipo )![]()
President Samia receives Uhuru Kenyatta’s delegation in Dar es Salaam
President Samia Suluhu Hassan has today April 10, 2021 received a special message from the President of Kenya Uhuru Kenyatta that was delivered by Cabinet Secretary of Sports, Culture and...www.thecitizen.co.tz
Kunieleza ndio nini? leta source Acha keleleWacha upumbavu. Nimeshakupatia source nenda katufute. No
Nimekueleza nani kasema nini na wapi katika hapa gani katika nchi gani halafu unasema sijakupatia source??
😃waaatmbona ipo kampuni ya maziwa kutoka Kenya muliyoitilia figisu figisu kwa kutaka wawajengee kiwanda cha maziwa hadi kuwafukuza mwaka 2009. mwaka wa 2013 muliona mambo hayaendi ikabidi muwaite tena kwa kuwabembeleza.
usitake nifukunyue madudu ambayo hutayapenda
Akili imekurudia mnaalika watu , halafu mnasema Samia kaenda mwenyewe ahahahaha narudia Amina Mohammed kaja Bongo kupiga magoti ili mama aende Kenya (mualiko )Si mgepiga Ban,Nakumbuka Zamani TZ ilipofunga mipaka Mukawa Maskini wa kutupa mpaka mkafungua mipaka Tena,without Kenya you are a Shit hole Country 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣