Emmadogo
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,126
- 3,771
Muulize sa8Hivi itakuaje siku ikagundulika kuwa vyeti vya magufuli ni feki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize sa8Hivi itakuaje siku ikagundulika kuwa vyeti vya magufuli ni feki?
Sawa Ahsante.Hoja yako ya kipuuzi sana kwa maana hata waliotumbuliwa wengi wao ufanisi wao ni mkubwa ingawaje vyeti vyao vinasemekana kuwa ni feki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nani atakayemtoa sasa?Itampasa aondoke tu Magogoni,,,
Mkuu dharau hii kwa lugha yetu haya katuzidi bt thesis mbona haionekani tujiridhisheHebu nenda kajaribu kumgusa kwenye Mathematics au Chemistry ndo upime uwezo wake kuwa je anavyeti feki au lah!
Utapata majibu.
Kama hukwenda kuumbuka ukaitwa wewe Bashite huko.
We umesoma vishazi huru na vitenzi vikurupushi vyako huko unataka kuja kumpima mwanasayansi kama Magu wewe!!!!?
atapigwa baraba mkuu no way hapoNakumbuka ila nimejaribu kuwaza tu nikaona si mbaya niwashirikishe na wadau wangu wa nguvu wa jf.
Kwa hiyo ile rule of law kwao haipo au sio?Wanasiasa hawakaguliwi vyeti vyao, jaribu upotee
Wanasiasa walio kwenye madaraka wapo above the lawKwa hiyo ile rule of law kwao haipo au sio?
DuhWanasiasa walio kwenye madaraka wapo above the law
"ALL ANIMALS ARE EQUAL BUT, SOME ARE MORE EQUAL THAN OTHERS"Wanasiasa walio kwenye madaraka wapo above the law
Tell them to read the animal farm (shamba la wanyama) watelewa"ALL ANIMALS ARE EQUAL BUT, SOME ARE MORE EQUAL THAN OTHERS"
Waliomuingiza ndio watakaomtoa[emoji6] [emoji111][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nani atakayemtoa sasa?
Ni mwanasiasa! Labda igundulike hajui kusoma na kuandika hapo ni kesi.Hivi itakuaje siku ikagundulika kuwa vyeti vya magufuli ni feki?
"ALL ANIMALS ARE EQUAL BUT, SOME ARE MORE EQUAL THAN OTHERS"