Third kit ya Simba miongoni mwa jezi bora Afrika

Third kit ya Simba miongoni mwa jezi bora Afrika

Kuweni serious basi,Hiyo jezi ambayo tulikuwa tunapewa kama kifungashio pale tuliponunua jezi original ya yanga! [emoji4]

Sent from my 502SO using JamiiForums mobile app
wafanya utafiti walikuwa wana deal na teams kubwa afrika DE UTO wako namba 69 kwa mika 5 ya CAF wamekusanya point 1 tu simba ni ya 17 na mwaka huu iko best 16 ya CAFL ,unatarajia hao watafiti wa south africa wahangaike na teams kama ihefu au yanga ?
 
Imekaa kama matambara ya deki
hiyo attitude ya majungu na nguvu ya uzandiki mngewekeza kwenye li team lenu angalau mngejulikan abasi,duh..no wonder kuna team moja ikikutana na teams za afrika inaingia with their heads held up kwa mapambano halafu ma vyura yanakuambia OOOH MTAKOMA HAIWEZEKANI YAANI HAO BALAA MWISHO WENU HAPO
 
Nani kasema?
Kwa research gani?

Hata mimi Naweza kuphotoshop kibandiko changu kama hicho nikaiweka jezi ya kiluvya united kama jezi zenye mvuto zaidi.
Nasubiri kwa hamu sana hiyo photoshop yako mkuu.

NB. Usisahau kuiweka club pendwa kabisa ya Yanga (utopolo fc) katika list yako.
 
kwa nini usifanye kaka ukfanikiwa kuwa publicised in africa and get people to talk about your research itakuwa jambo kubwa sana ,hiyo ni page kubwa ya michezo ya south africa wanaitwa africa soccer zone.ulitaka nani wafanye huo utafiti ulitaka iweje kwani
Page kubwa haiko verified?
Nasubiri kwa hamu sana hiyo photoshop yako mkuu.

NB. Usisahau kuiweka club pendwa kabisa ya Yanga (utopolo fc) katika list yako.
Tangu lini unanipangia kazi ?
 
Kwenye hiyo research wametumia methodology gani? Na sample size yao kwa bara zima la Africa ni ngapi ili kuja na hiyo findings?
Mkuu vitu vingine vya kuacha tu, huwezi kuhoji kila kitu na kawaida kwa binadamu kutoridhika, ulihoji vimetumika vigezo gani Ronaldo kuwa mchezaji bora Wa karne? Ipo hivo kwenye kila jambo ambalo litatoa wa Kwanza na wa mwisho wapo ambao watakubali na wapo ambao hawatakubali hiyo ni nature ya binadamu, na ata wewe ukiamua kutengeneza photoshot yako wapo ambao watapinga kwa mantiki hiyo hakuna sababu ya wewe kupinga, hujapenda then let it go
 
Ronaldo hajawahi kutangazwa kuwa mchezaji bora wa karne kaka!!

Au mimi nimepitwa na hilo Tangazo naomba link nikasome, zingatia link iwe ni reliable and trusted source.
 
Ronaldo hajawahi kutangazwa kuwa mchezaji bora wa karne kaka!!

Au mimi nimepitwa na hilo Tangazo naomba link nikasome, zingatia link iwe ni reliable and trusted source.
Ushasema hajawahi kutangazwa kuwa mchezaji bora Wa karne lakini wakati huo huo unataka source, so fun, anyway sipo hapa kwa ajili ya kubishana mkuu, ungekuwa mtu wa mpira lazima ungejua. Naomba nijitoe kwenye hii league yenu
 
Utopolo watakataa, Kuna siku hao Utopolo wakati wanasifia jezi zao mi niliwauliza ubora wa hizo Jezi ni upi?, Yanga walichoshida na kuwaaminisha mashabiki wao kua jezi zao nzuri ni nguvu ya vyombo vya habari kwa vile wanaojiita wachambuzi wote wa Yanga
 
Sasa hiyo ni research ?
Research ni nini Mkuu...??
Hata unapoenda dukani kununua madela yako yale kinachokuongoza hadi unafanya maamuzi ni research... Na usifikiri research like you know it ndo itakuwa research like others should know it...
 
Back
Top Bottom