njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
-
- #21
wafanya utafiti walikuwa wana deal na teams kubwa afrika DE UTO wako namba 69 kwa mika 5 ya CAF wamekusanya point 1 tu simba ni ya 17 na mwaka huu iko best 16 ya CAFL ,unatarajia hao watafiti wa south africa wahangaike na teams kama ihefu au yanga ?Kuweni serious basi,Hiyo jezi ambayo tulikuwa tunapewa kama kifungashio pale tuliponunua jezi original ya yanga! [emoji4]
Sent from my 502SO using JamiiForums mobile app
Imekaa kama matambara ya dekiKuweni serious basi,Hiyo jezi ambayo tulikuwa tunapewa kama kifungashio pale tuliponunua jezi original ya yanga! [emoji4]
Sent from my 502SO using JamiiForums mobile app
hiyo attitude ya majungu na nguvu ya uzandiki mngewekeza kwenye li team lenu angalau mngejulikan abasi,duh..no wonder kuna team moja ikikutana na teams za afrika inaingia with their heads held up kwa mapambano halafu ma vyura yanakuambia OOOH MTAKOMA HAIWEZEKANI YAANI HAO BALAA MWISHO WENU HAPOImekaa kama matambara ya deki
walifanya utafiti kwa teams za kueleweka siyo za hali ya chiniJezi yenyewe haina maajabu, Bora hata ya Namungo
Nasubiri kwa hamu sana hiyo photoshop yako mkuu.Nani kasema?
Kwa research gani?
Hata mimi Naweza kuphotoshop kibandiko changu kama hicho nikaiweka jezi ya kiluvya united kama jezi zenye mvuto zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Imekaa kama matambara ya deki
Huwezi kuniambia kitu njaakaliwafanya utafiti walikuwa wana deal na teams kubwa afrika DE UTO wako namba 69 kwa mika 5 ya CAF wamekusanya point 1 tu simba ni ya 17 na mwaka huu iko best 16 ya CAFL ,unatarajia hao watafiti wa south africa wahangaike na teams kama ihefu au yanga ?
Page kubwa haiko verified?kwa nini usifanye kaka ukfanikiwa kuwa publicised in africa and get people to talk about your research itakuwa jambo kubwa sana ,hiyo ni page kubwa ya michezo ya south africa wanaitwa africa soccer zone.ulitaka nani wafanye huo utafiti ulitaka iweje kwani
Tangu lini unanipangia kazi ?Nasubiri kwa hamu sana hiyo photoshop yako mkuu.
NB. Usisahau kuiweka club pendwa kabisa ya Yanga (utopolo fc) katika list yako.
AtlasIle bendera la Africa haipo?[emoji848][emoji848]
unateseka ukiwa wapi ndugu? ulisema utafanya ka photoshop uweke kiluvya utd go ahead and do it.Page kubwa haiko verified?
Tangu lini unanipangia kazi ?
Mkuu vitu vingine vya kuacha tu, huwezi kuhoji kila kitu na kawaida kwa binadamu kutoridhika, ulihoji vimetumika vigezo gani Ronaldo kuwa mchezaji bora Wa karne? Ipo hivo kwenye kila jambo ambalo litatoa wa Kwanza na wa mwisho wapo ambao watakubali na wapo ambao hawatakubali hiyo ni nature ya binadamu, na ata wewe ukiamua kutengeneza photoshot yako wapo ambao watapinga kwa mantiki hiyo hakuna sababu ya wewe kupinga, hujapenda then let it goKwenye hiyo research wametumia methodology gani? Na sample size yao kwa bara zima la Africa ni ngapi ili kuja na hiyo findings?
Njoo na research yako kuipinga hiyo!Kwenye hiyo research wametumia methodology gani? Na sample size yao kwa bara zima la Africa ni ngapi ili kuja na hiyo findings?
Hao wana madera ya kike na kiume tu... Hawana cha home kit, away wala third kit...Ile bendera la Africa haipo?[emoji848][emoji848]
Sasa hiyo ni research ?Njoo na research yako kuipinga hiyo!
Ronaldo hajawahi kutangazwa kuwa mchezaji bora wa karne kaka!!Mkuu vitu vingine vya kuacha tu, huwezi kuhoji kila kitu na kawaida kwa binadamu kutoridhika, ulihoji vimetumika vigezo gani Ronaldo kuwa mchezaji bora Wa karne? Ipo hivo kwenye kila jambo ambalo litatoa wa Kwanza na wa mwisho wapo ambao watakubali na wapo ambao hawatakubali hiyo ni nature ya binadamu, na ata wewe ukiamua kutengeneza photoshot yako wapo ambao watapinga kwa mantiki hiyo hakuna sababu ya wewe kupinga, hujapenda then let it go
Ushasema hajawahi kutangazwa kuwa mchezaji bora Wa karne lakini wakati huo huo unataka source, so fun, anyway sipo hapa kwa ajili ya kubishana mkuu, ungekuwa mtu wa mpira lazima ungejua. Naomba nijitoe kwenye hii league yenuRonaldo hajawahi kutangazwa kuwa mchezaji bora wa karne kaka!!
Au mimi nimepitwa na hilo Tangazo naomba link nikasome, zingatia link iwe ni reliable and trusted source.
Research ni nini Mkuu...??Sasa hiyo ni research ?