INRI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 1,324
- 2,319
Habari Wakuu!
Nipo Mwaka Wa Kwanza UDSM,
Natafuta Mtu Mwenye Room Maeneo Ya Sinza, Survey, Mwenge Au Mawasiliano Ili Tufanye Utaratibu Wa Kuachiana Mikoba.
Mwaka Wa Pili Sitaki Nikae Tena Hostel Hakuna Changamoto Hata Upatikanaji Wa Madeal Ni Mbinde Sana Ukilinganisha Na Kitaa.
Pia, Nakaribisha Mtu Wa Kushare Nae Room Kama Nikipata, Awe Me Au Ke Hamna Tatizo.
Contact = 0622543431