Third or Fourth Year Student anayeuza room na vitu vyake

INRI

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
1,324
Reaction score
2,319
Habari Wakuu!

Nipo Mwaka Wa Kwanza UDSM,

Natafuta Mtu Mwenye Room Maeneo Ya Sinza, Survey, Mwenge Au Mawasiliano Ili Tufanye Utaratibu Wa Kuachiana Mikoba.

Mwaka Wa Pili Sitaki Nikae Tena Hostel Hakuna Changamoto Hata Upatikanaji Wa Madeal Ni Mbinde Sana Ukilinganisha Na Kitaa.

Pia, Nakaribisha Mtu Wa Kushare Nae Room Kama Nikipata, Awe Me Au Ke Hamna Tatizo.

Contact = 0622543431
 
Mkuu umeniacha jaw dropped kwenye Ke au Me! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anyways, nikipata nitakushtua .
 
Duuuh jinsia huchagui?

Wewe Topaz nini?
 
Sasa siungeandika tangazo ubandike CAFE1 or cafe2 hapo chuo ungepata watu fasta
 
Unataka kuoa wew sio bure. Ke ukaenae getoo? Kama sio mke ni nn apoo
 
Unataka kuoa wew sio bure.... Ke ukaenae getoo????? Kama sio mke ni nn apoo
Hapana Mkuu! Mimi Sio Mbaguzi Kisa Jinsia. Wote Nawachukulia Brother And Sister [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari Wakuu!

Nipo Mwaka Wa Kwanza Udsm,
Natafuta Mtu Mwenye Room Maeneo Ya Sinza, Survey, Mwenge Au Mawasiliano Ili Tufanye Utaratibu Wa Kuachiana Mikoba.

Mwaka Wa Pili Sitaki Nikae Tena Hostel Hakuna Changamoto Hata Upatikanaji Wa Madeal Ni Mbinde Sana Ukilinganisha Na Kitaa.

Pia, Nakaribisha Mtu Wa Kushare Nae Room Kama Nikipata, Awe Me Au Ke Hamna Tatizo.

Contact = 0622543431
"eti hakuna madili kama yalivo yakitaa"wee endekezaa madili usisome af utaona bwanamdogo
 
Af mbn huelewek et awe me au ke,sasa wew jinsia gan?
 
"eti hakuna madili kama yalivo yakitaa"wee endekezaa madili usisome af utaona bwanamdogo
Kusoma Ni Priority Mkuu.
Ila Lazima Nijichanganye Kitaa Pia.
 
Back
Top Bottom