Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Nimeshatubu sirudi tena 😀Kuumbe! Mshenzi wa tabia kabisa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshatubu sirudi tena 😀Kuumbe! Mshenzi wa tabia kabisa wewe
Asante sana mkuuKukiri kosa na kujirekebisha sio udhaifu ni dalili ya kukua na kujua wajibu wako.
Kila la kheri.
Ooh Kumbe,bado sijaona aiseeHata official WhatsApp wameleta hiyo option ya ku-hide chat pia wameleta option ya kutumia account number 2 kwenye app moja
Hakuna sababu tena ya kutumia hizo GbWhatsApp
😂😂Shetani ameshindwa😀
hata mimi account mpya inakataaMimi pia yamenifika.Pamoja na kudownload official version toka piay store huku nikisajili kwa namba mpya ,account hiyo mpya ilidumu masaa machache ikafungiwa nayo.Watakuwa wamenitrack kupitia jina?
Duuuu hawa jamaaa watatutoa roho nina bann permanent sijui [emoji36]hata mimi account mpya inakataa
😂 SafiHawa jamaa wapo serious kuliko nilivyodhania aseee[emoji24][emoji24]
ruwatumie email kama jamaa alivyotushauriDuuuu hawa jamaaa watatutoa roho nina bann permanent sijui [emoji36]
Mkuu nimetuma email zaidi ya 10, whatspp support wapo kimya sana [emoji24][emoji24][emoji24]ruwatumie email kama jamaa alivyotushauri
badilisha laini tuMkuu nimetuma email zaidi ya 10, whatspp support wapo kimya sana [emoji24][emoji24][emoji24]
mzee mpka sahizi hujapataWatalaamu mpo kimya sana.
Bila bila mkuu check inbox yako kaka.mzee mpka sahizi hujapata