This Guys hates Tanzania soooo much hahahaha best Video

Seriously? Kweli tumevurugwa ha ha ha
 
Aki ya nani nakufa kwa kicheko...manina zake huyo.....
Halafu lafudhi ya Mtanzania japo mtaanza kulialia ni Mkenya.
Hata wewe wanipa shida kitambo sana kujua we mukeiii au mutiziii.

Kuja hapa eleza wapi wajifunza kiswahili kizuri kama hiki kama sio tiziii .

Maana wakenya wote shida au we Wa mombasa[emoji3]
 
Huyo anafanya kwenye expedition company inaitwa Tan Tours ipo Arusha anaitwa Emanuel Mmari kama tour guide ni mchagga wala sio mkenya.
Lakini mbona bahili hivi kwa nchi yake?? Ama ni wa upinzani na hataki kabisa mambo ya Magu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…