Siku yakwanza kuipokea hiyo video
Wamemkamatia nini sasa!, alikuwa ana have fun tu Usikute.
Kajifunzia (kajinoa) hapa hapa. Alipojiunga na JF kwa mara ya kwanza Kiswahili chake kilikuwa ni kichekesho.Hata wewe wanipa shida kitambo sana kujua we mukeiii au mutiziii.
Kuja hapa eleza wapi wajifunza kiswahili kizuri kama hiki kama sio tiziii .
Maana wakenya wote shida au we Wa mombasa[emoji3]
Wamemkamatia nini sasa!, alikuwa ana have fun tu Usikute.
Take a look at @JoeWMuchiri's Tweet:
ni mmeru..Hakuna mchaga wa hivyo.Huyo anafanya kwenye expedition company inaitwa Tan Tours ipo Arusha anaitwa Emanuel Mmari kama tour guide ni mchagga wala sio mkenya.
Ni lugha Yaitwa Typo"This guys hates Tanzania" ndio lugha gani hiyo?
Hayo ndo madhara ya kula shisha.Ni lugha Yaitwa Typo
Inaitwa typo sababu imeandikwa na nyang'au akiandika hivyo mtanzania hajui lughaNi lugha Yaitwa Typo
Hivi huko south Hamna freedom of expression.
The guy probably recorded the video on his phone and shared with friends. Its like you were relying on his video to market tz tourism. Smh
I think tz is colonized by their fellow Africans
Then your action of arresting the guy shows how dictatorial your leadership is.We use proper channel to advertise our country, we don't wait for viral videos like Kenyatta dab dance or Trump woman's match to get a cheap break.