titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Moja wapo kazungumziwa magu na mwanae bashite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja wapo kazungumziwa magu na mwanae bashite
That's double negation. Inakubalika kwa wavuta bangi." We DON'T need NO water..."
Hiyo ndiyo American English?
Why double negation?
-Kaveli-
The dagger unto an itching ass! That's bada ma boy!Sagacious saga, kosher burger
Anti-pope dope hope you feel the dagger.
"I'm lazy", those are your words!Saying this is bitterness and not pain without justification is laziness.
Anyone can say this is bitterness. It requires wirk to show why this is bitterness and not pain.
You did not show why. You are lazy.
Sorry for coming late and without bidding excuses! My short answers should not be mistaken for laziness. I do so because I have a stammering problem especially when I talk to people with bitterness (harm of mind / furious / eager to cause body harm) different from when I talk to people with pain (harm of body / injured / opened body)!Those are more than my words. That is a fact.
Exhibited by your posts.
Mkuu hii lugha pamoja na kabachela changu bado sijaimasta vzr,Those are more than my words. That is a fact.
Exhibited by your posts.
Mkuu hata mimi najifunza bado?Mkuu hii lugha pamoja na kabachela changu bado sijaimasta vzr,
Backgrounds za mashule yetu ndio tatizo.
Naweza vipi kuimasta vzr angalau kama wewe?
Nataka kujiunga na British council pale posta, lkn muda nakosa.
Ushauri tafadhali.
Safi sana mkuu, una kiu cha kujifunza...atakusaidia..Mkuu hata mimi najifunza bado?
Ni kujifunza kusikoisha tu. Kusoma vichapisho vizuri kusikiliza BBC World Service kila siku na kuongea na walami wenyewe.
Sasa hivi nasoma "Behave: The Biology of Humans at Our Best and Worst"kinaingia deepkatika ubongo kuangalia matendoyetu yanasababishwa na nini katika ubongo.Safi sana mkuu, una kiu cha kujifunza...atakusaidia..
Kwa jinsi kasi ya maendeleo na mabadiliko ya maisha yanavyotokea, ni muhimu kuishi kujifunza (dying learning)! Ni muhimu Watanzania wote tukajenga utamaduni wa kusoma maandiko na maandishi (machapisho) mbalimbali na kujiweka kando na ule msemo wa kwamba "ukitaka kumnyima Mtanzania jambo / neno, liweke kwanye maandishi"!Safi sana mkuu, una kiu cha kujifunza...atakusaidia..
Na mpaka leo Maovu yanafumuka kwenye yale maandishi ya mikataba, yatendelea kufumuka mpaka ifikie mikataba kabla ya Kabudi...Kwa jinsi kasi ya maendeleo na mabadiliko ya maisha yanavyotokea, ni muhimu kuishi kujifunza (dying learning)! Ni muhimu Watanzania wote tukajenga utamaduni wa kusoma maandiko na maandishi (machapisho) mbalimbali na kujiweka kando na ule msemo wa kwamba "ukitaka kumnyima Mtanzania jambo / neno, liweke kwanye maandishi"!
Hii ni kwa sababu wenye kupitia maandishi walikuwa wachache!Na mpaka leo Maovu yanafumuka kwenye yale maandishi ya mikataba, yatendelea kufumuka mpaka ifikie mikataba kabla ya Kabudi...