This House Is On Fire

This House Is On Fire

Those are more than my words. That is a fact.

Exhibited by your posts.
Sorry for coming late and without bidding excuses! My short answers should not be mistaken for laziness. I do so because I have a stammering problem especially when I talk to people with bitterness (harm of mind / furious / eager to cause body harm) different from when I talk to people with pain (harm of body / injured / opened body)!
So, you being bitter make it hard for me to argue with you because it makes me become cross to the extent of wishing to punch you! Sorry to say so!
 
I wish it were literally ,so that we let it burn down to the ground,then we start all over again maybe we'll have a better and solid foundation for building a better prosperous future if not for us ,then for those coming!
 
Those are more than my words. That is a fact.

Exhibited by your posts.
Mkuu hii lugha pamoja na kabachela changu bado sijaimasta vzr,
Backgrounds za mashule yetu ndio tatizo.

Naweza vipi kuimasta vzr angalau kama wewe?
Nataka kujiunga na British council pale posta, lkn muda nakosa.

Ushauri tafadhali.
 
Mkuu hata mimi najifunza bado?

Ni kujifunza kusikoisha tu. Kusoma vichapisho vizuri kusikiliza BBC World Service kila siku na kuongea na walami wenyewe.
 
Mkuu hata mimi najifunza bado?

Ni kujifunza kusikoisha tu. Kusoma vichapisho vizuri kusikiliza BBC World Service kila siku na kuongea na walami wenyewe.
Safi sana mkuu, una kiu cha kujifunza...atakusaidia..
 
Safi sana mkuu, una kiu cha kujifunza...atakusaidia..
Kwa jinsi kasi ya maendeleo na mabadiliko ya maisha yanavyotokea, ni muhimu kuishi kujifunza (dying learning)! Ni muhimu Watanzania wote tukajenga utamaduni wa kusoma maandiko na maandishi (machapisho) mbalimbali na kujiweka kando na ule msemo wa kwamba "ukitaka kumnyima Mtanzania jambo / neno, liweke kwanye maandishi"!
 
Na mpaka leo Maovu yanafumuka kwenye yale maandishi ya mikataba, yatendelea kufumuka mpaka ifikie mikataba kabla ya Kabudi...
 
Back
Top Bottom