Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Kweli CCM ni Chama Cha Majuha.. !!Haeleweki, kata zenye maji yameletwa na JPM ila ukosefu wa maji ni Mdee.
Alisikika mlevi mmoja toka chatle
Kama wewe unavyoumia eeeeRoho inakuuma mwenzio katoboa wewe bado hohehahe, wanawake kwa kuoneana wivu tunawajua
Kwa hiyo wewe unazo sababu zako za "ki-familia" zinazokufanya uone kwamba "hakuna analolifanya"?Halima ni mwanafamilia lakini ubunge umetosha sasa, hakuna analofanya jipya Kawe
Huna hojaKwa hiyo wewe unazo sababu zako za "ki-familia" zinazokufanya uone kwamba "hakuna analolifanya"?
Labda Mdee huwa anang'oa mabomba huko[emoji16][emoji16][emoji16]Haeleweki, kata zenye maji yameletwa na JPM ila ukosefu wa maji ni Mdee.
Chief, hivi umemsoma vizuri mleta Uzi au umekurupuka?Nitampima 'Mbunge' wangu mtarajiwa Gwajima baada ya miaka yake Mitano na kuhusu 'Mapungufu' yake ya Kibinadamu hata Sisi pia tunayo sana.
Ya kwako iko wapi?Huna hoja
AhahahaHaeleweki, kata zenye maji yameletwa na JPM ila ukosefu wa maji ni Mdee.
Halima ni mwanafamilia lakini ubunge umetosha sasa, hakuna analofanya jipya Kawe
Wewe hizo 'Akili' ulikuwa nazo lini? Acheni 'Kumshambulia' Gwajima kwa 'Mapungufu' yake ya Kibinadamu ambayo hata Mimi na Wewe tunayo pia.
Kutokujua kama Wewe ni 'Juha Mwandamizi' kabisa hapa JamiiForums.Mapungufu yake ya kibinadamu ni yapi?
Kutokujua kama Wewe ni 'Juha Mwandamizi' kabisa hapa JamiiForums.
Sina tatizo na Dada yangu Halima na namkubali mno na hata Yeye pia ananikubali sana ila nadhani kwa sasa imetosha aache Gwajima ashinde pia.