Uchaguzi 2020 This is Bishop Gwajima in his true colours

Uchaguzi 2020 This is Bishop Gwajima in his true colours

Haeleweki, kata zenye maji yameletwa na JPM ila ukosefu wa maji ni Mdee.
Kweli CCM ni Chama Cha Majuha.. !!
Unaposena mafuriko kadababisha Halima Mdee una maana gani? Hivi Magufuli alushondwa nini kuweka Miundombinu ya kuzuia Mafuriko Kawe?
Magufuli, Gwajiima na CCM yao walikumbilia kujenga FLYOVERS na UBUNGO EXCHANGE kutaka sifa za kijinga. Acha iwa- cost....shennxx zao kabisa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huu mkorogo unaweza mpatia hata Rais kuanguka na kupoteza fahamu. Afadhsli ungekuwa unatoka kwa watu tofautitofauti walau angeweza kueleweka.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huu mkorogo unaweza mpatia hata Rais kuanguka na kupoteza fahamu. Afadhsli ungekuwa unatoka kwa watu tofautitofauti walau angeweza kueleweka.
 
Ulitaka afanye nini ambalo hakulifanya na alikuwa na uwezo wa kulifanya?
Halima ni mwanafamilia lakini ubunge umetosha sasa, hakuna analofanya jipya Kawe
 
Mapungufu yake ya kibinadamu ni yapi?
Wewe hizo 'Akili' ulikuwa nazo lini? Acheni 'Kumshambulia' Gwajima kwa 'Mapungufu' yake ya Kibinadamu ambayo hata Mimi na Wewe tunayo pia.
 
In politics (kwenye siasa) we dont have a permanent enemy (adui wa maisha). Bali tunakuwa na adui anaye weza kuwa rafiki. Jimbo la kawe yule mwana dada jemedari i adui wa chama cha mapinduzi, hvyo adui wa adui wako ni rafiki yako. CCM wameangalia kati ya wagombea wote walio tia nia mwenye uthubutu pekee wa kupambana ni Gwajima. Jimbo lazima lichukuliwe kwa kupambana na anayeonyesha uwezo wa kulipora ni huyo waliomsimamisha hata kama aliwahi kiwa adui wao.
 
ujivuni wa kishamba kabisa, Halima hawezi kuwakubali vichwa panzi kama wewe.
Sina tatizo na Dada yangu Halima na namkubali mno na hata Yeye pia ananikubali sana ila nadhani kwa sasa imetosha aache Gwajima ashinde pia.
 
Back
Top Bottom