GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wewe hizo 'Akili' ulikuwa nazo lini? Acheni 'Kumshambulia' Gwajima kwa 'Mapungufu' yake ya Kibinadamu ambayo hata Mimi na Wewe tunayo pia.Wewe niliwahi kufikiri una akili...mmmhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hizo 'Akili' ulikuwa nazo lini? Acheni 'Kumshambulia' Gwajima kwa 'Mapungufu' yake ya Kibinadamu ambayo hata Mimi na Wewe tunayo pia.Wewe niliwahi kufikiri una akili...mmmhh
Huwezi kumgeuza Mungu Kama babu wakumtania kihivo! Yaani ufanye dhambi na makosa ya dhahiri ukiegemea kwenye kuomba msamaha baada ya kosa. Mungu hafanyi Biashara kabila hizo.Akishafanya toba na wahusika na Mungu wake yameishaaaaa. Wewe umefanya mashamba wangapi hata toba hujafanya🙄
Binafsi sina shida na mauno ila ukabila na ulaghai wa mtu huyu.Wewe hizo 'Akili' ulikuwa nazo lini? Acheni 'Kumshambulia' Gwajima kwa 'Mapungufu' yake ya Kibinadamu ambayo hata Mimi na Wewe tunayo pia.
Maeneo mengi ya jimbo letu yana shida ya maji. Kata ya Mabwepande, Madale na Goba maji yanatoka mara moja tu kwa wiki na wakati mwingine hadi wiki mbili hayatoki.
Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua kero ya muda mrefu ya maji maeneo mengi ya jimbo letu.
Sina tatizo na Dada yangu Halima na namkubali mno na hata Yeye pia ananikubali sana ila nadhani kwa sasa imetosha aache Gwajima ashinde pia.Halima ni mwanafamilia lakini ubunge umetosha sasa, hakuna analofanya jipya kawe
Utakuwa na wivu tu kwasababu ni mwanafamilia, una kile kiroho cha korosho!.Halima ni mwanafamilia lakini ubunge umetosha sasa, hakuna analofanya jipya kawe
Kama hizo sifa alizompa Magufuli ni za kweli ina maana Kawe isingekuwa na hayo matatizo aliyosema yamesababishwa na Mdee, Gwajima hajielewi, atambue wapiga kura wa Kawe sio wale waumini wake waliomzoesha kumshangilia tu hata akiongea ujinga.
Nani alimdanganya agombee Kawe kwa Wajanja? Kwanini hakwenda kugombea kijijini kwake KOLOMIJE alikozaliwa? Askofu ameingia Choo Cha kike😂😂😂
Hivi wewe na Yusufu Makamba(Katibu Mkuu CCM -rtd) nani tumwamini?Sina tatizo na Dada yangu Halima na namkubali mno na hata Yeye pia ananikubali sana ila nadhani kwa sasa imetosha acha Gwajima ashinde Kawe.
Hiyo ndiyo sifa namba moja ya kuwa mwana CCM.Ndumilakuwili
Amekuambia kuwa akiwa Mbunge Wasukuma wote watahamia Kawe? Hivi kuna Mtanzania asiye Mlaghai / Tapeli? Acheni Unafiki na Chuki zenu pia.Binafsi sina shida na mauno ila ukabila na ulaghai wa mtu huyu.
Hivi wewe na Yusufu Makamba(Katibu Mkuu CCM -rtd) nani tumwamini?
Weka video yake hapa, nimecheka jamani 😂😂GWAJIBOY AKIMKARIBISHA JPM: Mheshimiwa Rais karibu sana jimbo la Kawe. Watu wa Kawe wamekusanyika hapa kwa wingi kukupongeza kwa kazi kubwa uliyowafanyia. Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua kero ya muda mrefu ya maji maeneo mengi ya jimbo letu.
Umepeleka umeme kata nyingi, umejenga vyumba vya madarasa kwenye kata karibu zote, umetanua barabara ya Bagamoyo kutoka Morocco hadi Mwenge ili kupunguza msongamano, umejenga barabara nyingi za mitaa kwa kiwango cha lami na zinapitika muda wote. Mheshimiwa Rais tunakushukuru sana.
GWAJIBOY AKIMZUNGUMZIA MDEE: Mheshimiwa Rais jimbo hili ni kama halina mbunge. Kwa miaka mitano ya viti maalumu na 10 ya ubunge huyu mama hajali shida za wananchi kabisa. Maeneo mengi ya jimbo letu yana shida ya maji. Kata ya Mabwepande, Madale na Goba maji yanatoka mara moja tu kwa wiki na wakati mwingine hadi wiki mbili hayatoki.
Baadhi ya maeneo mtandao wa umeme haujafika kama kule Kisauke na Mbopo. Maeneo ya Mabwepande kuna uhaba wa vyumba vya madarasa watoto wanasongamana darasani na wengine wanakaa chini. Barabara nyingi za mitaa hazijakarabatiwa na hazipitiki. Mbunge yupo tu hakuna anachofanya. Kazi yake ni kuchochea migomo na kutoka bungeni.
Ndo maana unamwamini Rais Magufuli kwa vile "ANAKUKAZA"!!!!Mwamini 'anayekukaza' tu.
Mkuu pamoja na kumpima baada ya miaka mitano hii kauli yake unaichukuliaje?!Nitampima 'Mbunge' wangu mtarajiwa Gwajima baada ya miaka yake Mitano na kuhusu 'Mapungufu' yake ya Kibinadamu hata Sisi pia tunayo sana.