Uchaguzi 2020 This is Bishop Gwajima in his true colours

Uchaguzi 2020 This is Bishop Gwajima in his true colours

GWAJIBOY AKIMKARIBISHA JPM: Mheshimiwa Rais karibu sana jimbo la Kawe. Watu wa Kawe wamekusanyika hapa kwa wingi kukupongeza kwa kazi kubwa uliyowafanyia. Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua kero ya muda mrefu ya maji maeneo mengi ya jimbo letu.

Umepeleka umeme kata nyingi, umejenga vyumba vya madarasa kwenye kata karibu zote, umetanua barabara ya Bagamoyo kutoka Morocco hadi Mwenge ili kupunguza msongamano, umejenga barabara nyingi za mitaa kwa kiwango cha lami na zinapitika muda wote. Mheshimiwa Rais tunakushukuru sana.

GWAJIBOY AKIMZUNGUMZIA MDEE: Mheshimiwa Rais jimbo hili ni kama halina mbunge. Kwa miaka mitano ya viti maalumu na 10 ya ubunge huyu mama hajali shida za wananchi kabisa. Maeneo mengi ya jimbo letu yana shida ya maji. Kata ya Mabwepande, Madale na Goba maji yanatoka mara moja tu kwa wiki na wakati mwingine hadi wiki mbili hayatoki.

Baadhi ya maeneo mtandao wa umeme haujafika kama kule Kisauke na Mbopo. Maeneo ya Mabwepande kuna uhaba wa vyumba vya madarasa watoto wanasongamana darasani na wengine wanakaa chini. Barabara nyingi za mitaa hazijakarabatiwa na hazipitiki. Mbunge yupo tu hakuna anachofanya. Kazi yake ni kuchochea migomo na kutoka bungeni.
Machagueni awapige Unooo
 
Amekuambia kuwa akiwa Mbunge Wasukuma wote watahamia Kawe? Hivi kuna Mtanzania asiye Mlaghai / Tapeli? Acheni Unafiki na Chuki zenu pia.
Ukiona mtu anasambaza ujumbe wa kikabila kwa Whatsup ni hatari mno. Rwanda walimalizana kwa sababu ya watu kama akina Gwajima na jiwe. Hawatufai.
 
Ukiona mtu anasambaza ujumbe wa kikabila kwa Whatsup ni hatari mno. Rwanda walimalizana kwa sababu ya watu kama akina Gwajima na jiwe. Hawatufai.
 
Wewe hizo 'Akili' ulikuwa nazo lini? Acheni 'Kumshambulia' Gwajima kwa 'Mapungufu' yake ya Kibinadamu ambayo hata Mimi na Wewe tunayo pia.
Popoma bhana

na ww unatafuna kondoo?
unavunja ndoa za watu?
unafufua?

anyway,shetani jamaa yake ni ibilisi acha waongozane
 
Mimi nilisema gwajiboy amefanya kosa kubwa sana kuingia rasmi kwenye siasa tena kwa kugombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi.

alikuaga chadema akahama, sasa unataka akasema uongo na yeye? kwamba hakuna maendeleo yamefanyika? huyo ni mtumishi wa Mungu aisee
 
Mkuu pamoja na kumpima baada ya miaka mitano hii kauli yake unaichukuliaje?!

Mtu makini anaweza kujichanganya kiasi hicho?!
Tukisema hapa kila mwenye ID JF ajiweke wazi kuna uwezekano wengine hapa tukawa na 'Mapungufu' kuliko ya Gwajima na hata Shetani hayajui.
 
GWAJIBOY AKIMKARIBISHA JPM: Mheshimiwa Rais karibu sana jimbo la Kawe. Watu wa Kawe wamekusanyika hapa kwa wingi kukupongeza kwa kazi kubwa uliyowafanyia. Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua kero ya muda mrefu ya maji maeneo mengi ya jimbo letu.

Umepeleka umeme kata nyingi, umejenga vyumba vya madarasa kwenye kata karibu zote, umetanua barabara ya Bagamoyo kutoka Morocco hadi Mwenge ili kupunguza msongamano, umejenga barabara nyingi za mitaa kwa kiwango cha lami na zinapitika muda wote. Mheshimiwa Rais tunakushukuru sana.

GWAJIBOY AKIMZUNGUMZIA MDEE: Mheshimiwa Rais jimbo hili ni kama halina mbunge. Kwa miaka mitano ya viti maalumu na 10 ya ubunge huyu mama hajali shida za wananchi kabisa. Maeneo mengi ya jimbo letu yana shida ya maji. Kata ya Mabwepande, Madale na Goba maji yanatoka mara moja tu kwa wiki na wakati mwingine hadi wiki mbili hayatoki.

Baadhi ya maeneo mtandao wa umeme haujafika kama kule Kisauke na Mbopo. Maeneo ya Mabwepande kuna uhaba wa vyumba vya madarasa watoto wanasongamana darasani na wengine wanakaa chini. Barabara nyingi za mitaa hazijakarabatiwa na hazipitiki. Mbunge yupo tu hakuna anachofanya. Kazi yake ni kuchochea migomo na kutoka bungeni.!
1.Mbona sehemu nyingi za Tanzania hata zile ambazo wabunge ni wa CCM zina matatizo hayohayo. Juzi nimemsikia mhesimiwa mmoja akisema amepita Chato na huko kilio ni kile kile cha maji. Nimesikia watu wakisema hata kwa Mheshimiwa Ndungai matatizo ni hayo hayo. Tanzania hali ya umasikini ni kubwa na hapo CCM ingetakiwa tu kupumzika kwa sasa.
2. Anaongea kama vile amekwisha kuwa mbunge. Itataegemea watu siku hiyo ya uchaguzi wameamkaje na anaweza kukataliwa. watanzania wamezoea shida na kuwaambia kama hasipochaguliwa yeye hawapati maendeleo kwao wanaona ni kuwadanganya tu.
Swala ninalojiuliza kwa miaka yote hii kama CCM mmeshindwa kuleta maendeleo sasa tukiwachagua ndiyo mtaleta maendeleo. Kama majimbo yote Tanzania yakichukuliwa na CCM ina maana mnaweza kutokomeza umasikini. Pesa yenyewe itatoka wapi. kwanza Kwa hii miaka mitano pesa nyingi zitakwenda kwenye miradi mikubwa aliyoianzisha Mkuu na kuwalipa watu mishahara na kulipa deni la Taifa. Mabeberu waliokuwa wakitusaidia wengi wanakabiliwa na shida ya Covid19 na wengi wamepunguza misaada kwa ajili ya kutokuheshimu demokrasia. Kwa hapa tusitegemee miujiza sana ya maendeleo wala watu kuongezea mishahara. Kuna wakati mwalimu alisema tujifunge mikanda. ninaona hiyo hali inaweaza kwa kiasi kujirudia tena. Hapa ni Mungu atusaidie kusiwe na majanga ya kitaifa.
Hii nchi ilivyokaa na kwa Afrika kwa ujumla tunatakiwa mapinduzi makubwa sana ya fikra za watu, uchumi na siasa ili tuweze kutoka hapa tulipo. Wenzetu tunaowaita mabeberu waliweza kuyaona hayo na kuweza kufanikiwa.
 
Askofu Gwajima anachukua jimbo mapema sana, hakuna mjinga anayeweza kumchagua Halima ili aendeleze utoto na utovu wa nidhamu bungeni, subiri na muone wapiga kura watakavyoamua.
 
Ukiona mtu anasambaza ujumbe wa kikabila kwa Whatsup ni hatari mno. Rwanda walimalizana kwa sababu ya watu kama akina Gwajima na jiwe. Hawatufai.
Rwanda na Tanzania ni sawa? Je, unajua 'Context' nzima ya Yeye Gwajima kuwahusisha hivyo hao Nduguze Wasukuma? Mmezidi Kumshambulia.
 
Popoma bhana

na ww unatafuna kondoo?
unavunja ndoa za watu?
unafufua?

anyway,shetani jamaa yake ni ibilisi acha waongozane
Popoma Shangazi yako / Mjomba wako 'Pimbi' Wewe. Ndiyo kuhusu hizo 'Dhambi' zingine nazifanya tena huenda hata pia Kumzidi huyo Gwajima.
 
Kiukweli Askofu Gwajima hapati kitu Kawe. Mzee Makamba mbona keshamaliza kazi🤣

Tusiwe wepesi wa kusahau, klip hizi zinatukumbusha Rangi halisi ya Gwajima.

Eti tunapokumbusha kauli za Gwajima hadharani, wagombea wetu hufungiwa kuwa jukwaani kwa siku 7.... Makubwa!!!!!!!!!!!!!! Dhambi kubwa yaza Gwajima ni chuki mbaya juu ya makundi mengine yenye mawazo tofauti na yeye.
 
Back
Top Bottom