This is for You......

Mkuu bora niimbiwe kwanza halaf ndo nijibu mapigo, hapa ukianza mara unajibiwa kwa kibao "utajiju, mtu mzima ovyoo", halaf inakuja kuwa habari ya kubadilisha ID

HAHAHAHAHAHAH!....wewe umedata bana...hahahaha, kubadilisha iud tena? looooooool!
no way bana, mimi hata nikipigwa kibuti hadharani naendelea na u mbu wangu huu huu!

Hii nimeimbiwa mimi au natakiwa kushuhudia kama lawyer tu? Fafanua MJ1. I am lawyer with benefit.

...lol,...bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi wewe...

Last edited by a moderator:
Boss itabidi unisam'he .........maana sikujua kama hata Klorokwini kawa mzee wa maflowers namna hii!
Hapa mtaani wananiita Lonado Di kaprio kwa maflowers. ukipendwa na mimi una bahati sana gaijin, jaribu tu utasibitisha mwenyewe
 
out of this world!!!
\
can you imagine a romanting chinese???? hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

wanin wani wanini waniniiyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hahahaha
 
Last edited by a moderator:
swahiba MTM, mchina mzuka umepanda. Dah! wainii wainii wainii. hao ndio chinese soulmates bana. sredi zao wanaanzishia porini.
 
swahiba MTM, mchina mzuka umepanda. Dah! wainii wainii wainii. hao ndio chinese soulmates bana. sredi zao wanaanzishia porini.
sasa imagine MJ1 na pori wapi na wapi, kwani ye tumbiri??

that's why bongo love is always the best... umeshawahi kuimagine unamuimbia gaijin wani wanii waniyeeeeeeeeeeee??

duh?
 
Halaf hapa kuna kitu nimenotice. Yaani Mbu kapotea ghafla na MJ1 haonekani, mara The Boss kapotea ghafla na Gaijin haonekani na kuna kila dalili The Finest atapotea na ghafla Chauro hatoonekana.
Hii sredi hii
 
sasa imagine MJ1 na pori wapi na wapi, kwani ye tumbiri??

that's why bongo love is always the best... umeshawahi kuimagine unamuimbia gaijin wani wanii waniyeeeeeeeeeeee??

duh?

heheh wataanza kaka zake kusema mdogo wetu kaolewa na mzembe ana akili kasorobo, kumbe mzee mzuka wa malavidavi tu umekupanda.
 
Halaf hapa kuna kitu nimenotice. Yaani Mbu kapotea ghafla na MJ1 haonekani, mara The Boss kapotea ghafla na Gaijin haonekani na kuna kila dalili The Finest atapotea na ghafla Chauro hatoonekana.
Hii sredi hii
hiyo ndio JF...
 
hahahahaaa........lawyer bana!! The pressumption of kupotearing! Lol! Inapatika section gani vile kwenye Act ipi??
 
Nikifafanua Mbu hatutomuona JF wiki 2 zijazo au zaidi. Bora tuangalie mwisho wa hii sredi kwanza.

Mh kama ufafanuzi wako utapelekea kumpoteza Mbu wangu bora uendelee kumyuti shemeji! Akipotea yeye na mie utanzika ajue afu uhukumiwe kuua bila kukusudia.
 
Reactions: Mbu
Halaf hapa kuna kitu nimenotice. Yaani Mbu kapotea ghafla na MJ1 haonekani, mara The Boss kapotea ghafla na Gaijin haonekani na kuna kila dalili The Finest atapotea na ghafla Chauro hatoonekana.
Hii sredi hii
Mh we bana we mie nlipotelea jikoni kutengeneza chapati na nyama maana ndo fav ya Mr. Mbu! Na kwa maudhui ya kila mtu na mtuwe! Ni full mahaba ati! Dada wa kazi leo ana- off.
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…