Yaani nimejikuta naanza kumfikiria Boss halafu nikafikiria na masizi...lol nimecheka kweli.....nikasema aenda kwa mganga huyu nini ndio kapewa masharti hayo..lol!!
...kamanda umeona ee? bora wewe useme...mimi nilishajilipua zamani hapa jf moyo wangu ulivyomwangukia
mwanajamiione, sema yeye ndio hivyo tena...labda ndio kama maneno ya gaijin hapa...haiba za kike!
nishamaliza nyimbo zote, yeye anajivuta vuta tu....simuelewi elewi....
my days are numbered, i bet ipo siku atakuja na wimbo huu bure...
Loh...natamani Boss angekuwa hapa aisee...yaani nikigongana nae the first thing will be "Baba yale masizi vipi"ahahaahhaha hapa umenichekesha sina mbavu! Sipati picha ile Avatar yake kwanza ende kwa mganga, kisha sharti lihusishe masizi....hahahahah
Hah hivi we Mbu nia yako ni kunizibia eh? hahahah hii post nimejikuta nachka tu mwenyewe. Hivi ni nini lakini?
...kamanda umeona ee? bora wewe useme...mimi nilishajilipua zamani hapa jf moyo wangu ulivyomwangukia
mwanajamiione, sema yeye ndio hivyo tena...labda ndio kama maneno ya gaijin hapa...haiba za kike!
nishamaliza nyimbo zote, yeye anajivuta vuta tu....simuelewi elewi....
my days are numbered, i bet ipo siku atakuja na wimbo huu bure...
Loh...natamani Boss angekuwa hapa aisee...yaani nikigongana nae the first thing will be "Baba yale masizi vipi"
hahahaaaaaaaa ni mawazo yako tu, tatizo uko upande wa prosecution; mie nipo kwenye defense...heheeh haka kasredi aidha katajenga nyumba au katabomoa nyumba, Lawyer nimeshtukizia.
Cousin huu wimbo achana nao kabisa one of my best songs mkuumnh, Mbu unanifanya nisiache kusikiliza music, proper kabisa
one sweet day, kuna wimbo wa jamaa unaitwa dreams!!
Lol...Gaijin leo umenichekesha kweli....masizi....hahahaha Boss atanikoma we subiri..Mi' nlijua yupo ndo nikamtupia hilo suala......
Mkiona siku tatu sionekani mjue nasubiri hasira za Boss zipungue asidhani nimtolea siri kuwa kenda kwa mganga!
Boss
Yale masizi vipi baba?
Hah hivi we Mbu nia yako ni kunizibia eh? hahahah hii post nimejikuta nachka tu mwenyewe. Hivi ni nini lakini?
yapi hayo?mbona mimi nilikuwa na apple tu..??????lol
au umenichanganya na Kloro????lol
Yale..masizi vipi baba?yapi hayo?mbona mimi nilikuwa na apple tu..??????lol
au umenichanganya na Kloro????lol
heheeh haka kasredi aidha katajenga nyumba au katabomoa nyumba, Lawyer nimeshtukizia.
hebu mmegee hii hapa.... atarudi mbiyooooooooo
...la hasha mwanajamiione....
anyway, madhali mwenyewe umejibu NO, basi bana....acha mbu niendelee kusubiria bahati yangu chini ya shina la mtende...
ipo siku nami nitajaaliwa kupendwa ninapopenda... 🙁
Mwana hapa leo ni sherehe sherehe tu, Ile shuhuli ya trafford leo ni mwisho wa burudani, halaf kama haitoshi wana wa spurz wamemtundika mtu dripu. Hapa nanyemelea kadada kaniimbie namimi tu basi nikamilishe maana halisi ya hii sredi. Uskute mara gaijin atajitolea kuniimbia mimi, heheh nitajiskia bonge la baloteli flani hivi.hahahaaaaaaaa ni mawazo yako tu, tatizo uko upande wa prosecution; mie nipo kwenye defense...
so as far as i am concerned, ndoa na mahusiano vinajengwa hapa.... tunakolezea na nyimbo za hisia, ndoto na malove-dove
kwema lakini muzeya?
Mwana hapa leo ni sherehe sherehe tu, Ile shuhuli ya trafford leo ni mwisho wa burudani, halaf kama haitoshi wana wa spurz wamemtundika mtu dripu. Hapa nanyemelea kadada kaniimbie namimi tu basi nikamilishe maana halisi ya hii sredi. Uskute mara gaijin atajitolea kuniimbia mimi, heheh nitajiskia bonge la baloteli flani hivi.
Hahaha macho yanaona makengeza, baada ya ya kuambiwa Klorokwini umesambaza masizi mtaani.