This is for You......

This is for You......

Yaani nimejikuta naanza kumfikiria Boss halafu nikafikiria na masizi...lol nimecheka kweli.....nikasema aenda kwa mganga huyu nini ndio kapewa masharti hayo..lol!!

ahahaahhaha hapa umenichekesha sina mbavu! Sipati picha ile Avatar yake kwanza ende kwa mganga, kisha sharti lihusishe masizi....hahahahah
 
this is so switiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii !....... MJI upo wapi mamaaaaa?

...kamanda umeona ee? bora wewe useme...mimi nilishajilipua zamani hapa jf moyo wangu ulivyomwangukia
mwanajamiione, sema yeye ndio hivyo tena...labda ndio kama maneno ya gaijin hapa...haiba za kike!
nishamaliza nyimbo zote, yeye anajivuta vuta tu....simuelewi elewi....
my days are numbered, i bet ipo siku atakuja na wimbo huu bure...

Last edited by a moderator:
ahahaahhaha hapa umenichekesha sina mbavu! Sipati picha ile Avatar yake kwanza ende kwa mganga, kisha sharti lihusishe masizi....hahahahah
Loh...natamani Boss angekuwa hapa aisee...yaani nikigongana nae the first thing will be "Baba yale masizi vipi"
 
...kamanda umeona ee? bora wewe useme...mimi nilishajilipua zamani hapa jf moyo wangu ulivyomwangukia
mwanajamiione, sema yeye ndio hivyo tena...labda ndio kama maneno ya gaijin hapa...haiba za kike!
nishamaliza nyimbo zote, yeye anajivuta vuta tu....simuelewi elewi....
my days are numbered, i bet ipo siku atakuja na wimbo huu bure...

Hah hivi we Mbu nia yako ni kunizibia eh? hahahah hii post nimejikuta nachka tu mwenyewe. Hivi ni nini lakini?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Loh...natamani Boss angekuwa hapa aisee...yaani nikigongana nae the first thing will be "Baba yale masizi vipi"

Mi' nlijua yupo ndo nikamtupia hilo suala......

Mkiona siku tatu sionekani mjue nasubiri hasira za Boss zipungue asidhani nimtolea siri kuwa kenda kwa mganga!
 
heheeh haka kasredi aidha katajenga nyumba au katabomoa nyumba, Lawyer nimeshtukizia.
hahahaaaaaaaa ni mawazo yako tu, tatizo uko upande wa prosecution; mie nipo kwenye defense...

so as far as i am concerned, ndoa na mahusiano vinajengwa hapa.... tunakolezea na nyimbo za hisia, ndoto na malove-dove

kwema lakini muzeya?
 
Hah hivi we Mbu nia yako ni kunizibia eh? hahahah hii post nimejikuta nachka tu mwenyewe. Hivi ni nini lakini?

...la hasha mwanajamiione....

anyway, madhali mwenyewe umejibu NO, basi bana....acha mbu niendelee kusubiria bahati yangu chini ya shina la mtende...
ipo siku nami nitajaaliwa kupendwa ninapopenda... 🙁
 
hahahaaaaaaaa ni mawazo yako tu, tatizo uko upande wa prosecution; mie nipo kwenye defense...

so as far as i am concerned, ndoa na mahusiano vinajengwa hapa.... tunakolezea na nyimbo za hisia, ndoto na malove-dove

kwema lakini muzeya?
Mwana hapa leo ni sherehe sherehe tu, Ile shuhuli ya trafford leo ni mwisho wa burudani, halaf kama haitoshi wana wa spurz wamemtundika mtu dripu. Hapa nanyemelea kadada kaniimbie namimi tu basi nikamilishe maana halisi ya hii sredi. Uskute mara gaijin atajitolea kuniimbia mimi, heheh nitajiskia bonge la baloteli flani hivi.
 
Hahaha macho yanaona makengeza, baada ya ya kuambiwa Klorokwini umesambaza masizi mtaani.
 
mkuu Kloro ...kuna tetesi umeonekana mitaa fulani na magunia ya mkaa
na sasa Gaijin atakaribia kukuimbia nyimbo lol
 
Mwana hapa leo ni sherehe sherehe tu, Ile shuhuli ya trafford leo ni mwisho wa burudani, halaf kama haitoshi wana wa spurz wamemtundika mtu dripu. Hapa nanyemelea kadada kaniimbie namimi tu basi nikamilishe maana halisi ya hii sredi. Uskute mara gaijin atajitolea kuniimbia mimi, heheh nitajiskia bonge la baloteli flani hivi.

hahahaaaa... hiyo imetulia, angalia usimalize nguvu zote maana anweza akakuimbia mwisho wa siku yakawa ya kukoroma tu

hahahaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom