klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Huu ndio wimbo nilioimbiwa. khaaa! imekula kwangu aisee, kipipi okoa jahazi la klorokwini mama, hali ni mbayaHahaha macho yanaona makengeza, baada ya ya kuambiwa Klorokwini umesambaza masizi mtaani.
Afadhali Lawyer umekuja.........mie hapa hata sijijui tena wala sijitambui.................... this life isnt fair.heheeh haka kasredi aidha katajenga nyumba au katabomoa nyumba, Lawyer nimeshtukizia.
hebu mmegee hii hapa.... atarudi mbiyooooooooo
I'm not supposed to love you anymore - YouTube
:smash:
Huuuh King'asti anasutwa mtu tena! hilo haliwezikani abadan, labda matarumbeta ukodishe tuje tuserebuke tu ....manake weekend inaishia hiyo
Huu ndio wimbo nilioimbiwa. khaaa! imekula kwangu aisee, kipipi okoa jahazi la klorokwini mama, hali ni mbaya
Huu ndio wimbo nilioimbiwa. khaaa! imekula kwangu aisee, kipipi okoa jahazi la klorokwini mama, hali ni mbaya
Haya yana mwiko wake,lol
Naomba unidediketie ule wimbo wa njiwa basi
Dah.................nimejikuta naisoma mara mia mia post yangu lakini sijaona neno NO niazimeni miwani wajameni
...la hasha mwanajamiione....
anyway, madhali mwenyewe umejibu NO, basi bana....acha mbu niendelee kusubiria bahati yangu chini ya shina la mtende...
ipo siku nami nitajaaliwa kupendwa ninapopenda... 🙁
Mkuu bora niimbiwe kwanza halaf ndo nijibu mapigo, hapa ukianza mara unajibiwa kwa kibao "utajiju, mtu mzima ovyoo", halaf inakuja kuwa habari ya kubadilisha ID
klorokwini,....ushahidi wa sredi hii unaambatana na nyimbo....
weka nyimbo kuthibitisha kauli yako bana...'otherwise' kesi unayotaka kuisimamia haina mshiko...lol!
yapi hayo?mbona mimi nilikuwa na apple tu..??????lol
au umenichanganya na Kloro????lol
heheeh Mkuu The Boss hata mimi nilikuona mzee lakini nikaona niuchune tu lakini kwavile na Gaijin alikuona naona CV sasa imekwenda holidei.
Mimi nimekuwa mzee wa maflowers bana, infakti hata mkaa nilikuwa siujui ndo nini lakini nashkuru sku ile mnajadiliana na Gaijin ndo nikapata idea. Lizzy na Husninyo watasibitisha hii
Hii nimeimbiwa mimi au natakiwa kushuhudia kama lawyer tu? Fafanua MJ1. I am lawyer with benefit.Afadhali Lawyer umekuja.........mie hapa hata sijijui tena wala sijitambui.................... this life isnt fair.
Sorry I've never told you, all I wanted to say
Now its too late to hold you, coz you far away... so far away
Never had I imagine, to live without your smile
Feeling known you hear me, its keeps me alive\
known you
Girl you, you've run too far away,,,,,,,,,,,,,,,so far alway
Never had I imagine, living without your smile
feeling knowing you hear me, It keeps me alive X 2
And I know you shine down on me, from heaven
Like so many friends, we've lost along the way
And I know fromeventually we will be together, one sweet day
Dah!!
cv imekwenda holiday.....lol
Mie nazijua za mdundiko tu ....
"kamuwacha mume wake kaufata mdundiko"
Lol Lawyer with benefit hah...........fafanua tafadhaliHii nimeimbiwa mimi au natakiwa kushuhudia kama lawyer tu? Fafanua MJ1. I am lawyer with benefit.
Naondoka na nyimbo moja ya long time inaimba
"mpeni pole amepwerewa haja nae sina, nimempata kichuna nampenda sana"
NB: Ujumbe kwenye wimbo huo haujamlenga yoyote katika hadhira hii
Ciao
Naondoka na nyimbo moja ya long time inaimba
"mpeni pole amepwerewa haja nae sina, nimempata kichuna nampenda sana"
NB: Ujumbe kwenye wimbo huo haujamlenga yoyote katika hadhira hii
Ciao