This is for You......

This is for You......

Hahaha macho yanaona makengeza, baada ya ya kuambiwa Klorokwini umesambaza masizi mtaani.
Huu ndio wimbo nilioimbiwa. khaaa! imekula kwangu aisee, kipipi okoa jahazi la klorokwini mama, hali ni mbaya
 
heheeh haka kasredi aidha katajenga nyumba au katabomoa nyumba, Lawyer nimeshtukizia.
Afadhali Lawyer umekuja.........mie hapa hata sijijui tena wala sijitambui.................... this life isnt fair.

Sorry I've never told you, all I wanted to say
Now its too late to hold you, coz you far away... so far away
Never had I imagine, to live without your smile
Feeling known you hear me, its keeps me alive\
known you
Girl you, you've run too far away,,,,,,,,,,,,,,,so far alway

Never had I imagine, living without your smile
feeling knowing you hear me, It keeps me alive X 2

And I know you shine down on me, from heaven
Like so many friends, we've lost along the way
And I know fromeventually we will be together, one sweet day

Dah!!
 
Last edited by a moderator:
Haya yana mwiko wake,lol
Naomba unidediketie ule wimbo wa njiwa basi
Huuuh King'asti anasutwa mtu tena! hilo haliwezikani abadan, labda matarumbeta ukodishe tuje tuserebuke tu ....manake weekend inaishia hiyo
 
Haya yana mwiko wake,lol
Naomba unidediketie ule wimbo wa njiwa basi

Njiwa kwa ajili yako kwa siku ya leo.......

ila siku nyengine ukijiskia omba Nyuki pia ipo :]

Last edited by a moderator:

...la hasha mwanajamiione....

anyway, madhali mwenyewe umejibu NO, basi bana....acha mbu niendelee kusubiria bahati yangu chini ya shina la mtende...
ipo siku nami nitajaaliwa kupendwa ninapopenda... 🙁
Dah.................nimejikuta naisoma mara mia mia post yangu lakini sijaona neno NO niazimeni miwani wajameni
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

klorokwini,....ushahidi wa sredi hii unaambatana na nyimbo....
weka nyimbo kuthibitisha kauli yako bana...'otherwise' kesi unayotaka kuisimamia haina mshiko...lol!
Mkuu bora niimbiwe kwanza halaf ndo nijibu mapigo, hapa ukianza mara unajibiwa kwa kibao "utajiju, mtu mzima ovyoo", halaf inakuja kuwa habari ya kubadilisha ID
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
yapi hayo?mbona mimi nilikuwa na apple tu..??????lol
au umenichanganya na Kloro????lol

heheeh Mkuu The Boss hata mimi nilikuona mzee lakini nikaona niuchune tu lakini kwavile na Gaijin alikuona naona CV sasa imekwenda holidei.
Mimi nimekuwa mzee wa maflowers bana, infakti hata mkaa nilikuwa siujui ndo nini lakini nashkuru sku ile mnajadiliana na Gaijin ndo nikapata idea. Lizzy na Husninyo watasibitisha hii
 
cv imekwenda holiday.....lol
 
Afadhali Lawyer umekuja.........mie hapa hata sijijui tena wala sijitambui.................... this life isnt fair.

Sorry I've never told you, all I wanted to say
Now its too late to hold you, coz you far away... so far away
Never had I imagine, to live without your smile
Feeling known you hear me, its keeps me alive\
known you
Girl you, you've run too far away,,,,,,,,,,,,,,,so far alway

Never had I imagine, living without your smile
feeling knowing you hear me, It keeps me alive X 2

And I know you shine down on me, from heaven
Like so many friends, we've lost along the way
And I know fromeventually we will be together, one sweet day

Dah!!
Hii nimeimbiwa mimi au natakiwa kushuhudia kama lawyer tu? Fafanua MJ1. I am lawyer with benefit.
 
Naondoka na nyimbo moja ya long time inaimba

"mpeni pole amepwerewa haja nae sina, nimempata kichuna nampenda sana"

NB: Ujumbe kwenye wimbo huo haujamlenga yoyote katika hadhira hii

Ciao
 
stil my fav remain to be Kila Mtu na Mtuwe.......hayo mashairi aloyatoaIsha mie hata simwezi............amenifanya mie nijisikie kama ndo muuimbiwa jamani!
 
Mie nazijua za mdundiko tu ....

"kamuwacha mume wake kaufata mdundiko"

na kuna ile,

klorokwini sema naee, ohh mwari sema naeee
unamtaka muoweee , ooh muoweee
usimdokowee dokoweee, ni zambi ujuweee

halaf kinachanganywa.
 
Naondoka na nyimbo moja ya long time inaimba

"mpeni pole amepwerewa haja nae sina, nimempata kichuna nampenda sana"

NB: Ujumbe kwenye wimbo huo haujamlenga yoyote katika hadhira hii

Ciao

haya masizi kweli yameua cv lol.........
 
Naondoka na nyimbo moja ya long time inaimba

"mpeni pole amepwerewa haja nae sina, nimempata kichuna nampenda sana"

NB: Ujumbe kwenye wimbo huo haujamlenga yoyote katika hadhira hii

Ciao

Huyu atakuwa The Boss tu, afazali kapewa pole kwa tarabu. wengine wanapewa kav kavu
 
Back
Top Bottom