Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
doneCousin hebu iwekee tena hiyo link can't access it
............loh!Halooo Halooo
Dah!! Ila haya maneno kama ya ukweli fulani ndani yake "I guess i might be wishin on someone else's star"
Dah!! Ila haya maneno kama ya ukweli fulani ndani yake "I guess i might be wishin on someone else's star"
Umeona eheee "It seems like someone else keeps gettin what i'm wishin for"dah.........................
Dah!!! Sijui MTM kafikiria nini hadi kauleta huu wimbohizi imani zipo sana pwani ,tanga tanga hivi...
nimeshangaa kumbe mpaka Brian White ameimba duh...
Dah!!! Sijui MTM kafikiria nini hadi kauleta huu wimbo
we acha tu........... yani mie kuna wakati huwa nahisi kama ndio hivyo tena... someone else's star!!!Dah!! Ila haya maneno kama ya ukweli fulani ndani yake "I guess i might be wishin on someone else's star"
boss... haya mambo aisee sijui inakuaje, very strangehizi imani zipo sana pwani ,tanga tanga hivi...
nimeshangaa kumbe mpaka Brian White ameimba duh...
Umenikumbusha ile mtu kakufanyia mabaya lakini unaona siku zinavyozidi kwenda anazidi kubarikiwa unakuwa unajiuliza maswali mengi na baadae kukumbuka usemi unaosema "Mungu anatoa riziki kwa Wote"its natural aisee
the grass looks greener on the other side of the fence
Mkuu yalinikuta kabisaaDah!!! Sijui MTM kafikiria nini hadi kauleta huu wimbo
Kudadekiii nimejikuta naweka REPLAY kwenye huu wimbowe acha tu........... yani mie kuna wakati huwa nahisi kama ndio hivyo tena... someone else's star!!!
gademu!!
.......why cant i be as lucky as other people out there??
funny unaweza kukuta kuna mtu anajiuliza 'why can't i be lucky like MTM.....
Boss haya mambo acha tu, i must admit wengi wetu ndio huwa tunajiuliza hivyo why cant i be lucky like Boss or MTM halafu kadri siku zinavyozidi kwenda unaona things are gettin worse and worse na yule ambaye you want to be lucky like him anazidi kuambaa tu kama vile ana ahadi na Mungu...gademu this lifefunny unaweza kukuta kuna mtu anajiuliza 'why can't i be lucky like MTM.....
What else do you want...lol!!OMG!!! I love this very much!