This is How Kenya is Going to Be Sold to Chinese

Their land will be divided to Mandarin speaking people who don't know Queen's like the guys claiming to.
it's just amazing how ignorant you fools are, haya habari ndio hii hapa
1066369

https://www.ippmedia.com/en/news/china-provide-financial-support-refurbish-ailing-tazara-railway
 
Wapinzani wa Tz ni sawa na wabunge wa Jubilee..Full confusion na takataka..Lakini hilo halikusu..Muhimu kujua huyo mbunge aliye hoji kuhusu ATCL alijibiwa kikamilifu na Waziri mkuu kassim majaliwa
kwhyo wabunge wa upande wa upinzani tanzania huaga hawajui chochote kinachoendelea tanzania...wa ccm pekee ndio wanaojua...joke of the day walai...bwahahaaaaa
 
We need a GDP which is preventing you from being purchased by Mandarin speaking people.
 
Hii sasa eti ndio Jf, home of great thinkers.
Yani jamaa wanaonyesha karata zao tunajionea vile jamaa wako full wivu, povu tele inaonyesha vile walivyo.. jamaa wanalazimisha story za Kenya ziwe mbaya hata kama ni uongo... Mara KQ ina ndege Tatu, mara sijui China .....
Nakwambia, kuchukia Kenya si kazi rahisi, lazima uwe mvimilivu mwenye roho ngumu manake utakua disappointed mara Kwa mara, ngoja tuanze kulipa first installment ya SGR loan mwisho wa mwaka huu wakati shilingi ya Kenya imekita dhidi ya dollar, jamaa wengi watapotea huku Kenyan section ya JF, kuna wengine wataregeshwa muhimbil hospital kwasababu ya re-ocuuring psychotic nervous breakdown!

Meanwhile IMF imetangaza Uchumi wa Tz utakua Kwa asilimia 4% !!!!!!!!! Dead 'giants' walking!!!!
 
Propaganda huwa hazibadilishi uhalisia wa mambo wanaongeza tu vidonda vyao vya tumbo kila uchao. Kuna nyuzi humu huwa naziona, za miaka karibia kumi iliyopita, wakieneza hizi hizi propaganda.
 
Kuna Yule mTZ alieandika biography ya former president J.Kikwete , nishawahi soma article flani alioiandika nafikiri 1998 alikua anaelezea vile Uchumi wa Kenya umeanguka na vile mi wakati wa Tanzania kuongoza EA kiuchumi... Yani niliposoma hio taarifa nilikua na dejavu ... Ni kama nilikua nasoma comments za JF za sasa....
 
Kama mtu niliyepata bahati ya kushughulikia mikopo toka nje naweza kukuambia mataifa pekee rafiki kwa mikopo ni zile nchi za kijamaa za wakati ule. Sio ulaya wala marekani wala china.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Yule mTZ alieandika biography ya former president J.Kikwete , nishawahi soma article flani alioiandika nafikiri 1998 alikua anaelezea vile Uchumi wa Kenya umeanguka na vile mi wakati wa Tanzania kuongoza EA kiuchumi... Yani niliposoma hio taarifa nilikua na dejavu ... Ni kama nilikua nasoma comments za JF za sasa....
Hawa majirani hawana plan, isipokuwa kungoja kuiga Kenya na kungoja Kenya iporomoke eti ndio wao wafanikiwe. Inaitwa sisiemu.
 
Ahaaa haaa haaa
Wanashangilia kuwa na price tag, ambayo MChina Amelia.
 
Andaeni hela ya kumlipa MChina. December is not so far.
 
UK and RO go to China to beg for an estoppel of foreclosure.
 
China is a highest bidder, has to take Kenya now. Wait and watch.
 
Back
Top Bottom