Yani jamaa wanaonyesha karata zao tunajionea vile jamaa wako full wivu, povu tele inaonyesha vile walivyo.. jamaa wanalazimisha story za Kenya ziwe mbaya hata kama ni uongo... Mara KQ ina ndege Tatu, mara sijui China .....
Nakwambia, kuchukia Kenya si kazi rahisi, lazima uwe mvimilivu mwenye roho ngumu manake utakua disappointed mara Kwa mara, ngoja tuanze kulipa first installment ya SGR loan mwisho wa mwaka huu wakati shilingi ya Kenya imekita dhidi ya dollar, jamaa wengi watapotea huku Kenyan section ya JF, kuna wengine wataregeshwa muhimbil hospital kwasababu ya re-ocuuring psychotic nervous breakdown!
Meanwhile IMF imetangaza Uchumi wa Tz utakua Kwa asilimia 4% !!!!!!!!! Dead 'giants' walking!!!!