it's just amazing how ignorant you fools are, haya habari ndio hii hapaTheir land will be divided to Mandarin speaking people who don't know Queen's like the guys claiming to.
kwhyo wabunge wa upande wa upinzani tanzania huaga hawajui chochote kinachoendelea tanzania...wa ccm pekee ndio wanaojua...joke of the day walai...bwahahaaaaaWapinzani wa Tz ni sawa na wabunge wa Jubilee..Full confusion na takataka..Lakini hilo halikusu..Muhimu kujua huyo mbunge aliye hoji kuhusu ATCL alijibiwa kikamilifu na Waziri mkuu kassim majaliwa
Rushwa. Rushwa. Rushwakenya is ranked bottom..worst loss in the history of aviation
it's just amazing how ignorant you fools are, haya habari ndio hii hapa
View attachment 1066369
https://www.ippmedia.com/en/news/china-provide-financial-support-refurbish-ailing-tazara-railway
continue massaging your ego.Once Chinese are in bongo, talk about society benefits. So they are normally offer concessional loans.
Yani jamaa wanaonyesha karata zao tunajionea vile jamaa wako full wivu, povu tele inaonyesha vile walivyo.. jamaa wanalazimisha story za Kenya ziwe mbaya hata kama ni uongo... Mara KQ ina ndege Tatu, mara sijui China .....Hii sasa eti ndio Jf, home of great thinkers.
Propaganda huwa hazibadilishi uhalisia wa mambo wanaongeza tu vidonda vyao vya tumbo kila uchao. Kuna nyuzi humu huwa naziona, za miaka karibia kumi iliyopita, wakieneza hizi hizi propaganda.Yani jamaa wanaonyesha karata zao tunajionea vile jamaa wako full wivu, povu tele inaonyesha vile walivyo.. jamaa wanalazimisha story za Kenya ziwe mbaya hata kama ni uongo... Mara KQ ina ndege Tatu, mara sijui China .....
Nakwambia, kuchukia Kenya si kazi rahisi, lazima uwe mvimilivu mwenye roho ngumu manake utakua disappointed mara Kwa mara, ngoja tuanze kulipa first installment ya SGR loan mwisho wa mwaka huu wakati shilingi ya Kenya imekita dhidi ya dollar, jamaa wengi watapotea huku Kenyan section ya JF, kuna wengine wataregeshwa muhimbil hospital kwasababu ya re-ocuuring psychotic nervous breakdown!
Meanwhile IMF imetangaza Uchumi wa Tz utakua Kwa asilimia 4% !!!!!!!!! Dead 'giants' walking!!!!
Kuna Yule mTZ alieandika biography ya former president J.Kikwete , nishawahi soma article flani alioiandika nafikiri 1998 alikua anaelezea vile Uchumi wa Kenya umeanguka na vile mi wakati wa Tanzania kuongoza EA kiuchumi... Yani niliposoma hio taarifa nilikua na dejavu ... Ni kama nilikua nasoma comments za JF za sasa....Propaganda huwa hazibadilishi uhalisia wa mambo wanaongeza tu vidonda vyao vya tumbo kila uchao. Kuna nyuzi humu huwa naziona, za miaka karibia kumi iliyopita, wakieneza hizi hizi propaganda.
Hawa majirani hawana plan, isipokuwa kungoja kuiga Kenya na kungoja Kenya iporomoke eti ndio wao wafanikiwe. Inaitwa sisiemu.Kuna Yule mTZ alieandika biography ya former president J.Kikwete , nishawahi soma article flani alioiandika nafikiri 1998 alikua anaelezea vile Uchumi wa Kenya umeanguka na vile mi wakati wa Tanzania kuongoza EA kiuchumi... Yani niliposoma hio taarifa nilikua na dejavu ... Ni kama nilikua nasoma comments za JF za sasa....
Kondeshwa na ya nyumbani kwako. Ya Kenya hutayaweza rafiki. Otherwise, utaenda kujaza memorial park pale dare salaamAndaeni hela ya kumlipa MChina. December is not so far.
Your death might be around the corner too. RelinquishMaturity is around the corner. December is not so far.