This is How Kenya is Going to Be Sold to Chinese

Umekua ukiimba December sio mbali tutakapo anza kudaiwa kulipa mkopo wa China.... Umekua ukiimba huo wimbo ukisema tutashindwa kulipa..... Sasa unaleta taarifa mpya inayosema hata kabla hio December ifike tunachukua mkopo mwengine mkubwa zaidi ....

Swali ni, Je, kama tungekua hatuna uwezo wa kulipa mkopo wa Kwanza, tungechukua mkopo wa pili?????
 

Ahaaa haaa haaa
Go back to the video. You will see how Sri Lankans were celebrating to have the money which needed to implement their projects. Remember Chinese are not worrying about the project ability to pay the loan. They concerned about foreclosing the key assets of the country. This is why we are referring China as a buyer of the world.
 
Soon the Chinese will put key assets of Kenya under their control.
Kenya is not safe. This is why Uhuru na Ruto are going to SINO people to beg a pardon.
Otherwise the going will get tough as the IMF/WBG warned.
 
Ataolewa mtu

Ova

Nasikia mchina hana option zaidi ya kuchukua bandari ya Mombasa. Maana mradi wa SGR umeshindwa kulipa deni. Mppaka sasa wanachukua pesa mfukoni kuendesha mradi.
 
Nasikia mchina hana option zaidi ya kuchukua bandari ya Mombasa. Maana mradi wa SGR umeshindwa kulipa deni. Mppaka sasa wanachukua pesa mfukoni kuendesha mradi.
Ndomana uhuru na odinga wamekwenda China kuwatuliza[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Ndomana uhuru na odinga wamekwenda China kuwatuliza[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova

Jamaa wanataka waichukue bandari ya Mombasa. Maana waChina wamesimamia mradi hawaoni dalili za kurejeshwa kwa mkopo. Wanaona riba yao bado inazidi kuongezeka.
Ikumbukwe pia, muda wa kuanza kulipia deni umefika, lkn bado mradi unajiendesha kwa hasara.
 
Jamaa wanataka waichukue bandari ya Mombasa. Maana waChina wamesimamia mradi hawaoni dalili za kurejeshwa kwa mkopo. Wanaona riba yao bado inazidi kuongezeka.
Ikumbukwe pia, muda wa kuanza kulipia deni umefika, lkn bado mradi unajiendesha kwa hasara.
Duh mombasa bye bye ......

Ova
 
Duh MK254 atatokwa na chozi

Ova

Ahaaa haaa haaa
Hamna namna hapo. Kama Zambia wamekaa, Sri Lanka ndiyo usiseme, maana kuna wachambuzi wanasema, pengine Shambulio la pasaka limetekelezwa na wale Tamil Tigers wa kipindi cha Chandrika Kumalatunga wamerudi kwa kisingizio cha kupinga kuuzwa kwa NCHI YAO kwa waChina kwa MUDA wa miaka 99.
 
Duh....ndy kuolewa na mchina sasa
Hiyo

Ova
 
Duh....ndy kuolewa na mchina sasa
Hiyo

Ova

Ahaaa haaa haaa
Rasmi sasa wamekuwa mwali wa MChina hao.
Subiri Uhuru na Raila wakitoka huko. Utasikia kitakacho tokea.
HATA waZambia walienda baraza zima la mawaziri. Lkn haikuwazuia waChina kuichukuwa ZESCO.
 
Ahaaa haaa haaa
Rasmi sasa wamekuwa mwali wa MChina hao.
Subiri Uhuru na Raila wakitoka huko. Utasikia kitakacho tokea.
HATA waZambia walienda baraza zima la mawaziri. Lkn haikuzuia kuchuliwa kwa ZESCO.
Mombasa port bye bye

Ova
 
Mombasa port bye bye

Ova

Ahaaa haaa haaa
Muda si mrefu TENA utasikia, Uhuru, Ruto, Raila na baba YAO Daniel wanamsukuma kwenye wheel chair kwenda kuomba poo bandari isichukuliwe.
Watasingizia huyu mzee Dan akisikia bandari ya Mombasa inachukuliwa na nyie kina Ti Li, Hwang Kong anazidiwa.
KAMA mnabisha semeni mnaichukua muone anavyoanguka.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Was talking to some Kenyan today and he insisted according to IMF and World Bank, Kenya's economy is going to be the biggest in Africa in 2030! Nearly died out of laughing, but the man was dead serious...
 
Watu wengi hua mnapenda kutumia mfano wa Sri Lanka lakini hua hata hamjisumbui kusoma vipi walifika hapo.... China did not force Sri Lanka to give up her port, Sri Lanka has more than one port .......... Sri Lanka gave their equivalent of Bagamoyo port to China which had been built on loan instead of PPP and after it failed to attract business, so Sri Lanka thought instead of trying to manage the new port hambantota in the south and fail to pay back the loan, why don't we give it to the Chinese to own it and forget the debt and they will give it back after recouperating profits...meanwhile TZ gave up bagamoyo for free!
Meanwhile Sri Lanka ownes a bigger port in the north called port of Colombo which Handles 5.7million TEUs p.a .... To put it into paspective , all the ports from Dgibouti ,Kenya, Tz to Mozambique combined! Don't handle $5.7 million TEUs p.a.

Alafu hivi unajua Sri Lanka (which has an economy similar to Kenya) iko na external debt ya $53B ?
Wakati Kenya iko na external debt ya $27B ambapo only $5.6B ni kutoka China? WB inadai Kenya $8.9B kuna Japan ambaye ako na kama $3B alafu kina AfDB na wengineo ukichanganya na France,USA,UK ... Ndo inafika hio $27B.....

Kenya haitarajiwi kulipa Hilo deni lite la mchina ndani ya siku moja... E.g deni kubwa la China linachangiwa na SGR, ambayo imepewa miaka 15 kulipwa , hio inamaanisha Kwa hio miaka 15, kila mwaka tutalipa kama $210m. Bandari ya Mombasa pekee huokota Kodi ya $450m kila mwaka, KQ pekee hulipa $600m Kwa serekali kupitia KAA kutumia JKIA..... Mbali na hapo hata kama tukikosana na China Leo na watulazimishe tulipe deni lote Leo, tuko na foreign reserves za $8.5B ambazo zinaweza kulipa Hilo deni Kwa mpigo na bado tubaki na reserves za kulinda thamani ya shilingi..

And FYI, in comparison, Tanzania iko na external debt ya $21B of which ukiangalia in terms of % to GDP ni kubwa kuliko external debt ya Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…