eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
- Thread starter
- #81
Watu wengi hua mnapenda kutumia mfano wa Sri Lanka lakini hua hata hamjisumbui kusoma vipi walifika hapo.... China did not force Sri Lanka to give up her port, Sri Lanka has more than one port ..........
Alafu hivi unajua Sri Lanka (which has an economy similar to Kenya) iko na external debt ya $53B ?
Wakati Kenya iko na external debt ya $27B ambapo only $5.6B ni kutoka China? WB inadai Kenya $8.9B kuna Japan ambaye ako na kama $3B alafu kina AfDB na wengineo ukichanganya na France,USA,UK ... Ndo inafika hio $27B.....
Kenya haitarajiwi kulipa Hilo deni lite la mchina ndani ya siku moja... E.g deni kubwa la China linachangiwa na SGR, ambayo imepewa miaka 15 kulipwa , hio inamaanisha Kwa hio miaka 15, kila mwaka tutalipa kama $210m. Bandari ya Mombasa pekee huokota Kodi ya $450m kila mwaka, KQ pekee hulipa $600m Kwa serekali kupitia KAA kutumia JKIA..... Mbali na hapo hata kama tukikosana na China Leo na watulazimishe tulipe deni lote Leo, tuko na foreign reserves za $8.5B ambazo zinaweza kulipa Hilo deni Kwa mpigo na bado tubaki na reserves za kulinda thamani ya shilingi..
And FYI, in comparison, Tanzania iko na external debt ya $21B of which ukiangalia in terms of % to GDP ni kubwa kuliko external debt ya Kenya.
Hayo madeni unayosema kutoka nchi zingine, yana tofauti kubwa sana na madeni ya China. China iliwapa commercial loans with commercial terms and conditions. AfDB na hao wengine waliwapeni concessional loan. Which is a loan with a modest covenants. This is why since you started to hear about AfDB advancing loans to many countries, you never heard about attaching or foreclosing (one) countries assets like what happened in Zambia, Sri Lanka etc. No wonder the Washington Concessors and Bretton Woods warned you about taking excesssive loans from China. They are surely know the aftermath of the Chinese loans. But all I can say is that, the country is in a big trouble, coz the Chinese loans are having a scheduling interest rate. When you are borrowing, you think that, you will be capable to repay. But once the due date is around the corner, things become different. Again since the beginning of the operation of SGR, it has never been servicing its opex. The GoK has to take money from her coffers to run the project. And I'm sure, the situation has never changed.