This is painful

This is painful

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Nimeitazama hii picha nimejikuta naumia sana basi tu!
1740126836220.jpg
 
Yani aliamini atasoma na ni lazima serikali impe ajira? Kwamba ni lazima ? Huu ni upumbavu mkubwa sana, Elimu itumike kutukomboa kifikra ! Hata aje Obama ama Trump awe Rais wa Tz hawezi kutatua ishu ya ajira kwa vijana !
 
Nimeitazama hii picha nimejikuta naumia sana basi tu!
View attachment 3243875
Hakiamungu hii ni mambo mbaya
Noma sana 😃
Hilo ni jambo la kawaida hususani kwenye hizi nchi zetu za kiAfrika.
Kwa nchi zingine za wenzetu kwa kiasi fulani Tawala za huko zimejitahidi kuweka Mazingira fulani wezeshi ya kuweza kuwapunguzia maumivu Watu wasio na kazi au wasio na ajira hususani Vijana.
Ipo mipango na miradi mbalimbali ya kuwawezesha vijana kujikimu kimaisha, Kama vile kuanzisha schmes za Unemployment Benefits.

Kwa Afrika hali ipo tofaufi kabisa, janga la Ukosefu wa Ajira linawafanya Waathirika kupata maumivu ya moja kwa moja bila ya msaada kutoka kwa Serikali, rejea kisa Cha Kuibuka kwa Machafuko katika nchi za kiArab (Arab Uprising) yaliyotokea miaka ya 2011-2015 katika nchi za Tunisia, Libya, Misri, n.k. Trigger iliyosababisha janga hili lote ni Ukosefu wa Ajira, Utawala wa Tunisia ndio ulioanza kufungua milango ya vurugu kwa kubomoa banda la biashara la Kijana Mchuuzi wa biashara ndogo ndogo (Machinga)
 
Back
Top Bottom