This is painful

This is painful

Elimu + uthubutu + uvumilivu = mafanikio, Je, ajira ni nini?
Miaka hii waliyoko shuleni au vyuoni walenge sana kupata maarfa, stadi na ujuzi wa kujiajiri.
 
Lissu akiwaambia muandamane mnamuona msenge
Warejee like suala la Maanadamo ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kule nchini Bangladesh Mwaka jana wa 2024 na kuundoa madarakani Utawala wa nchi hiyo ambao ulikuwa unafanya upendeleo wa ajira kwa familia za Waasi na Wapigania Uhuru wa nchi hiyo.
 
Hilo ni jambo la kawaida hususani kwenye hizi nchi zetu za kiAfrika.
Kwa nchi zingine za wenzetu kwa kiasi fulani Tawala za huko zimejitahidi kuweka Mazingira fulani wezeshi ya kuweza kuwapunguzia maumivu Watu wasio na kazi au wasio na ajira hususani Vijana.
Ipo mipango na miradi mbalimbali ya kuwawezesha vijana kujikimu kimaisha,

Kwa Afrika hali ipo tofaufi kabisa, janga la Ukosefu wa Ajira linawafanya Waathirika kupata maumivu ya moja kwa moja bila ya msaada kutoka kwa Serikali, rejea kisa Cha Kuibuka kwa Machafuko katika nchi za kiArab (Arab Uprising) yaliyotokea miaka ya 2011-2015 katika nchi za Tunisia, Libya, Misri, n.k. Trigger iliyosababisha janga hili lote ni Ukosefu wa Ajira, Utawala wa Tunisia ndio ulioanza kufungua milango ya vurugu kwa kubomoa banda la biashara la Kijana Mchuuzi wa biashara ndogo ndogo (Machinga)
kijana kwa hasira akajimwagia petrol na kujipiga kiberiti, balaa likaanzia hapo.
 
Back
Top Bottom