Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
Kama Haji Manara vile.1.Timu pekee Tanzania iliyoingia fainal
michuano ya kimataifa Caf
2.Timu pekee kwa Tanzania iliyomtoa
bingwa mtetezi 2003 kwenye michuano
ya kimataifa
3.Timu pekee kwa Tanzania iliyotumia
zaidi ya 1.5b
kwa usajiri Tanzania.
Hizo 600m kalipeni kodi za jengo kisha
mje kujifananisha na Mnyama.
.1.Timu pekee Tanzania iliyoingia fainal
michuano ya kimataifa Caf
2.Timu pekee kwa Tanzania iliyomtoa
bingwa mtetezi 2003 kwenye michuano
ya kimataifa
3.Timu pekee kwa Tanzania iliyotumia
zaidi ya 1.5b
kwa usajiri Tanzania.
Hizo 600m kalipeni kodi za jengo kisha
mje kujifananisha na Mnyama.
Mara yenu ya mwisho kuchukua ubingwa wa ligi ilikuwa lini?1.Timu pekee Tanzania iliyoingia fainal
michuano ya kimataifa Caf
2.Timu pekee kwa Tanzania iliyomtoa
bingwa mtetezi 2003 kwenye michuano
ya kimataifa
3.Timu pekee kwa Tanzania iliyotumia
zaidi ya 1.5b
kwa usajiri Tanzania.
Hizo 600m kalipeni kodi za jengo kisha
mje kujifananisha na Mnyama.
ubingwa mwaka huu mtausikia mkiwa mavyumbani mwenu mnaangalia taarifa za habari za michezo mnatuona tukinyanyua kombe .....hizo hatua za makundi sijui nini na milioni 600 mtaishia raund ya kwanza tu wala hamuendi mbali mtaishia kupata hizo milioni 600 tuWazee wa historia mkumbuke hata Liverpool Ana historia
Duu milioni 600 zimewauma, msubiri mwakani zamu yenu tuone mtafikia wapi?ubingwa mwaka huu mtausikia mkiwa mavyumbani mwenu mnaangalia taarifa za habari za michezo mnatuona tukinyanyua kombe .....hizo hatua za makundi sijui nini na milioni 600 mtaishia raund ya kwanza tu wala hamuendi mbali mtaishia kupata hizo milioni 600 tu
Duu milioni 600 zimewauma, msubiri mwakani zamu yenu tuone mtafikia wapi?ubingwa mwaka huu mtausikia mkiwa mavyumbani mwenu mnaangalia taarifa za habari za michezo mnatuona tukinyanyua kombe .....hizo hatua za makundi sijui nini na milioni 600 mtaishia raund ya kwanza tu wala hamuendi mbali mtaishia kupata hizo milioni 600 tu
nyie mtapata mini?ubingwa mwaka huu mtausikia mkiwa mavyumbani mwenu mnaangalia taarifa za habari za michezo mnatuona tukinyanyua kombe .....hizo hatua za makundi sijui nini na milioni 600 mtaishia raund ya kwanza tu wala hamuendi mbali mtaishia kupata hizo milioni 600 tu
Duu milioni 600 zimewauma, msubiri mwakani zamu yenu tuone mtafikia wapi?
hahahaah kipi kinachouma kati ya milioni 600 na ubingwa ...bora tukose milioni 600 kuliko ubingwa...Duu milioni 600 zimewauma, msubiri mwakani zamu yenu tuone mtafikia wapi?
hahahaah kalagabaho !nyie mtapata mini?
Haya sasaubingwa mwaka huu mtausikia mkiwa mavyumbani mwenu mnaangalia taarifa za habari za michezo mnatuona tukinyanyua kombe .....hizo hatua za makundi sijui nini na milioni 600 mtaishia raund ya kwanza tu wala hamuendi mbali mtaishia kupata hizo milioni 600 tu
Nasikia ni mil 600 za yanga ndo zinawanyima usingiziHalafu sijui hisia zangu tu, lakini naona mtaa wa pili majirani kama wameweweseka hivi!
Hivi kuna anayeweza kunijuza tatizo ni nini hasa?!
hahahaha simba bingwa 2018 hahahahaHaya sasaView attachment 750611
le chama kubwaaz you know ....all le supa mbebez in town including yours love simba with all their heart...they are crazy in love with simba you know....hahaha nafwaaz..hahahaWAMATOPENI KWA KUJITAPATAPA
Tangu lini nikaipenda timu ya mchangani na matopeni mkuule chama kubwaaz you know ....all le supa mbebez in town including yours love simba with all their heart...they are crazy in love with simba you know....hahaha nafwaaz..hahaha
hahaha because its big club in da africa u know...all the beautiful ladies in town and big rich men in town love simba ...hahah.u know le big club u know le champions 2018Tangu lini nikaipenda timu ya mchangani na matopeni mkuu