This is Simba

This is Simba

Ally maganga

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
1,433
Reaction score
913
1.Timu pekee Tanzania iliyoingia fainal michuano ya kimataifa CAF

2.Timu pekee kwa Tanzania iliyomtoa bingwa mtetezi 2003 kwenye michuano
ya kimataifa

3.Timu pekee kwa Tanzania iliyotumia zaidi ya 1.5b kwa usajiri Tanzania.

Hizo 600m kalipeni kodi za jengo kisha mje kujifananisha na Mnyama.
 
1.Timu pekee Tanzania iliyoingia fainal
michuano ya kimataifa Caf
2.Timu pekee kwa Tanzania iliyomtoa
bingwa mtetezi 2003 kwenye michuano
ya kimataifa
3.Timu pekee kwa Tanzania iliyotumia
zaidi ya 1.5b
kwa usajiri Tanzania.
Hizo 600m kalipeni kodi za jengo kisha
mje kujifananisha na Mnyama.
Kama Haji Manara vile.
 
1.Timu pekee Tanzania iliyoingia fainal
michuano ya kimataifa Caf
2.Timu pekee kwa Tanzania iliyomtoa
bingwa mtetezi 2003 kwenye michuano
ya kimataifa
3.Timu pekee kwa Tanzania iliyotumia
zaidi ya 1.5b
kwa usajiri Tanzania.
Hizo 600m kalipeni kodi za jengo kisha
mje kujifananisha na Mnyama.
.
FIERY-LION-OF-JUDAH.jpg
 
1.Timu pekee Tanzania iliyoingia fainal
michuano ya kimataifa Caf
2.Timu pekee kwa Tanzania iliyomtoa
bingwa mtetezi 2003 kwenye michuano
ya kimataifa
3.Timu pekee kwa Tanzania iliyotumia
zaidi ya 1.5b
kwa usajiri Tanzania.
Hizo 600m kalipeni kodi za jengo kisha
mje kujifananisha na Mnyama.
Mara yenu ya mwisho kuchukua ubingwa wa ligi ilikuwa lini?
 
Wazee wa historia mkumbuke hata Liverpool Ana historia
ubingwa mwaka huu mtausikia mkiwa mavyumbani mwenu mnaangalia taarifa za habari za michezo mnatuona tukinyanyua kombe .....hizo hatua za makundi sijui nini na milioni 600 mtaishia raund ya kwanza tu wala hamuendi mbali mtaishia kupata hizo milioni 600 tu
 
Duu milioni 600 zimewauma, msubiri mwakani zamu yenu tuone mtafikia wapi?
 
nyie mtapata mini?

hahahaah kipi kinachouma kati ya milioni 600 na ubingwa ...bora tukose milioni 600 kuliko ubingwa...
tena nataka mechi na nyinyi tuwe tushatangazwa mabingwa kwaio tukiingia uwanjani mnakua mmejipanga mistari miwili mnatupigia makofi tukiingia uwanjani hahahaha
 
nyie mtapata mini?
hahahaah kalagabaho !

Pesa makaratasi ...ubingwa mtamu bwana tena tunawapokonya nyie mabingwa watetezi hahahaha le mbebez wote wazuri ni simba fans
u know watakua uwanjani wanashangilia mabingwa u know le supa mtindiz
 
ubingwa mwaka huu mtausikia mkiwa mavyumbani mwenu mnaangalia taarifa za habari za michezo mnatuona tukinyanyua kombe .....hizo hatua za makundi sijui nini na milioni 600 mtaishia raund ya kwanza tu wala hamuendi mbali mtaishia kupata hizo milioni 600 tu
Haya sasa
IMG-20180420-WA0001.jpg
 
le chama kubwaaz you know ....all le supa mbebez in town including yours love simba with all their heart...they are crazy in love with simba you know....hahaha nafwaaz..hahaha
Tangu lini nikaipenda timu ya mchangani na matopeni mkuu
 
hahaha because its big club in da africa u know...all the beautiful ladies in town and big rich men in town love simba ...hahah.u know le big club u know le champions 2018
 
Back
Top Bottom