This is Simba

Wazee wa kuonga leo wapo uwanjani!
600m zitaishia kununua mechi tu badala ya kulipa madeni
 
Wazee wa kuonga leo wapo uwanjani!
600m zitaishia kununua mechi tu badala ya kulipa madeni
Manara ndivyo anawadanganya mbumbumbu FC...Mara swaumu wanatoa wapi hela ya kuhonga...wanaume wenye jinsia ya kike tabu sana
 
Yanataka points za mezani!

pumbavu sana mashabiki+viongozi wa Yanga
 
Timu mbili bora duniani zipo uwanjani Leo.
Namaanisha Simba wa Tanzania na Barcelona ya Spain.
 
Rasmi
Simba bingwa 2017/2018.

This is Simba bhana!!
 
Timu pekee ligi kuu iliyokimbia kipindi cha pili all sitokee uwanjani kukwepa kichapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…