Bwana kaduga
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 863
- 1,812
Umedanganywa[emoji3] [emoji3] [emoji3]Seleman Matola kaboa nasikia!;
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umedanganywa[emoji3] [emoji3] [emoji3]Seleman Matola kaboa nasikia!;
Utabiri wako umetimia Mkuu.Leo tunamtafuna Lipuli bila huruma.
Fulltime
Simba 4-0 lipuli.
Manara ndivyo anawadanganya mbumbumbu FC...Mara swaumu wanatoa wapi hela ya kuhonga...wanaume wenye jinsia ya kike tabu sanaWazee wa kuonga leo wapo uwanjani!
600m zitaishia kununua mechi tu badala ya kulipa madeni
Umeona foul jinga wewe!Manara ndivyo anawadanganya mbumbumbu FC...Mara swaumu wanatoa wapi hela ya kuhonga...wanaume wenye jinsia ya kike tabu sana
Wiki iliopita,Mara yenu ya mwisho kuchukua ubingwa wa ligi ilikuwa lini?
Timu pekee ligi kuu iliyokimbia kipindi cha pili all sitokee uwanjani kukwepa kichapo1.Timu pekee Tanzania iliyoingia fainal michuano ya kimataifa CAF
2.Timu pekee kwa Tanzania iliyomtoa bingwa mtetezi 2003 kwenye michuano
ya kimataifa
3.Timu pekee kwa Tanzania iliyotumia zaidi ya 1.5b kwa usajiri Tanzania.
Hizo 600m kalipeni kodi za jengo kisha mje kujifananisha na Mnyama.
Ungefanya wewe basi,Mbona Okwi alimchezea rafu Rostand na refa hakufanya lolote?
SipangiwiUngefanya wewe basi,