Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
ShemUmeniacha mwenyewe, utatupeleka wapi sasa wote wawili? Mie nna moyo mdogo nna wivu hatari
Hebu elewa nilikuwa natania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShemUmeniacha mwenyewe, utatupeleka wapi sasa wote wawili? Mie nna moyo mdogo nna wivu hatari
Nakuja kabisa na breki, lazima tupunguze hiyo kasi...Hebu ukuje
Moyo unaenda mbio bae
Kweli baba yeyoo ulikuwa unanitaftia sababu dada angu ni mtu wa matani sana naomba unisamehe mimiUmeniacha mwenyewe, utatupeleka wapi sasa wote wawili? Mie nna moyo mdogo nna wivu hatari
Bibi yake atamlea tuu... We utaniachaje huku duniani na utamu wanguAfu mwanetu nani atamlea?
Najua dada ni matani yakoNilikuwa natania tuu mdogo wangu
Asante babeNakuja kabisa na breki, lazima tupunguze hiyo kasi...
Hapo ndipo napochoka... Maana wivu wangu ni mpk kwa kaka zako.Bibi yake atamlea tuu... We utaniachaje huku duniani na utamu wangu
Mimi apaAfu mwanetu nani atamlea?
Wewe utamfundisha tabia mbaya... hatutaki.Mimi apa
[emoji3][emoji3]Shem
Hebu elewa nilikuwa natania
Sasa mbona Shem kanuna jamaniNajua dada ni matani yako
Khaaaaaa we mkuuWewe utamfundisha tabia mbaya... hatutaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mbona Shem kanuna jamani
HahahaHapo ndipo napochoka... Maana wivu wangu ni mpk kwa kaka zako.
Asa nije nisikie umeolewa au unachepuka na kidume kingine, si ntafufuka bila shuruti?
Mi si nlikuambia ana michepuko ukawa unabisha kama Zari The Bosslady??Kweli baba yeyoo ulikuwa unanitaftia sababu dada angu ni mtu wa matani sana naomba unisamehe mimi
EwaaaaaaMimi apa
Pole nshawahiwa na Behaviourist mwenzioSasa na wewe ndio umefanya nini? Mie nimevurugwa na Mama Yeyoo nikataka nikuulize kama ofa bado ipo unaanza mambo ya mme mwenzio tena!!!! Bora nikae pembeni kuepusha msongamano
HahahaKhaaaaaa we mkuu
Una changamoto ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We umejuajeWewe utamfundisha tabia mbaya... hatutaki.