Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Nshakuambia tutakufwa wote akiii...huwezi kufa na utamu wako nikubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Nshakuambia tutakufwa wote akiii...huwezi kufa na utamu wako nikubali
Nimejionea babu na sababu nimetafutiwaMi si nlikuambia ana michepuko ukawa unabisha kama Zari The Bosslady??
Leo unacheka tuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]Una changamoto ujue
Nifanyeje dada ebu niulizie kwa shemeji yako kwahiyo ameniacha na ubuyu atanitumia au ndio kaniacha mpaka kwenye ubuyu jamanLeo unacheka tuuu
Sijui amezima data au ametupa simuuu....Nifanyeje dada ebu niulizie kwa shemeji yako kwahiyo ameniacha na ubuyu atanitumia au ndio kaniacha mpaka kwenye ubuyu jaman
[emoji3][emoji3][emoji3] kwakweli aniletee ubuyu kwanza ndio aamue kuleftSijui amezima data au ametupa simuuu....
Shem leta ubuyu kwanza ndo uleft
Hahaha[emoji3][emoji3][emoji3] kwakweli aniletee ubuyu kwanza ndio aamue kuleft
[emoji3][emoji3][emoji3] kwakweli aniletee ubuyu kwanza ndio aamue kuleft
Nilitania tuu mkuu, nimeshaomba msamaha zaidi ya mara tano...Nimepata, kwa kiponda wamefunga. Ubuyu natuma ila ndio sio Mama Yeyoo wangu tena
Nilitania tuu mkuu, nimeshaomba msamaha zaidi ya mara tano...
Baba yeyoo usinifanyie hivyo unajua vile siwezi ishi bila wewe nakupenda mimi huo uliopata bae ni ubuyu upiNimepata, kwa kiponda wamefunga. Ubuyu natuma ila ndio sio Mama Yeyoo wangu tena
Mmh basi umefikilia vibaya khaaaaa baba yeyooTufanye wewe ulitania, yeye akajibu na mimi ni shemeji yako, kwa kweli moyo umetumbukia nyongo
Wala hakumaanisha, ndo tumezoea utani! Nadhani hatujawahi kutana chit chat mkuu!! Nisamehe mimi nilosababisha anijibu! TafadhaliTufanye wewe ulitania, yeye akajibu na mimi ni shemeji yako, kwa kweli moyo umetumbukia nyongo
Kama nakuona [emoji3][emoji3][emoji3] akiii nimepewa talaka sijui sijui talaka rejea au vipiWala hakumaanisha, ndo tumezoea utani! Nadhani hatujawahi kutana chit chat mkuu!! Nisamehe mimi nilosababisha anijibu! Tafadhali
MmmhKama nakuona [emoji3][emoji3][emoji3] akiii nimepewa talaka sijui sijui talaka rejea au vipi
Baba yeyoo usinifanyie hivyo unajua vile siwezi ishi bila wewe nakupenda mimi huo uliopata bae ni ubuyu upi
Yaan mwenyewe nimeona na mdogo wako nilivyo wa matani sasa jamanMmmh
Hajui utani?? Na wewe uwe unanitambulisha basi, kumbe mtu mwenyewe hajui utani!!!