Aww [emoji8][emoji8][emoji8] tantee babe naomba usinipe talaka nitakufwa shunie mm nisamehe jamanNimepata kwa Babu Issa, mwekundu wa pilipili.
Next time jamaa akija ntampa wa Kiponda, lakini talaka iko palepale
Mahaba mahabani...
Aww [emoji8][emoji8][emoji8] tantee babe naomba usinipe talaka nitakufwa shunie mm nisamehe jaman
Kwanini?Yamenitokea puani
MhYamenitokea puani
Mkuu upo...Babu ODM where are you?
Happy Valentine's day everyone!
Mmh baba yeyoo usinifanyie hivyo jaman asante sana Mungu azidi kukubariki kila siku iitwayo leo [emoji7][emoji120]Nimeshamkabidhi kijana wa Hemed.. Naenda kulala kwa maumivu ya moyo, imeniuma sana. Naaga dunia mie jamani nafariki
Mmh baba yeyoo usinifanyie hivyo jaman asante sana Mungu azidi kukubariki kila siku iitwayo leo [emoji7][emoji120]
@Samaritan babu anataka kuniachaNdoa yako imeelekea wapi niirudishe fasta???
Na hujajua kaelekea kwa nani? Mi najua vimchepuko vyake vitatu...@Samaritan babu anataka kuniacha
Babu jaman utaniua sasa sitaki kusikia habari za michepuko yakeNa hujajua kaelekea kwa nani? Mi najua vimchepuko vyake vitatu...
HahahaYaan mwenyewe nimeona na mdogo wako nilivyo wa matani sasa jaman
HahahaMmh baba yeyoo usinifanyie hivyo jaman asante sana Mungu azidi kukubariki kila siku iitwayo leo [emoji7][emoji120]
HahahaBabu jaman utaniua sasa sitaki kusikia habari za michepuko yake
Mkuu upo...
Heri ya mwaka mpya