This is special for Asprin

Mabinti kwa kupenda vizeeee.......by the way hongera zake
Mkuu Kuna kitu Sky kakiona Kwa Babu Asprin tena Mabinti wengi wanatamani na wanammendea wampate Coz mababu wanajua Kujali,pia huwa Wanachelewa kufika Mlimani,sifa hiyo imewafanya Wadada kama Sakayo,numbisa,Inna,Mzigua 90,Valentine na Wwngine Kumtamani babu "awalee"
 
Aiseee
Babu ni mchepuko wangu!!

Happy Valentine's day my only mchepuko Asprin.. Nakupenda ila Sky anakupenda zaidi!!!
 
Naona unajisahaulisha kama mjukuu mchumba ake ni babu.
 
Kwa kusifiwa huku naona leo atashinda kaunta....sijui hata kama kazi zitafanyika leo
I love you babu....happy Valentine day Babu Aspirin [emoji8] [emoji8]
I love you too grandie...

Afu unakumbuka nakudai?
 
Doh pole sana kiongozi. Kama anakuletea utata niambie nikuunganishe kwa mjukuu wangu Mzigua90

Mkuu hapo sasa naona unataka kuharibu interview! Kwa kweli natamani sana huyu binti Shunie angefundwa na Sky Eclat niambulie hizi meseji za mahaba, yaani kweli babu jana yote sijapata hata simple sms achilia mbali wishes za wapendanao, yaani hata ile salamu tu. Bado natafakari huu ushauri kuhusu mjukuu wako Mzigua90
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…