This is special for Asprin

Ukimaliza utakuta nishaolewa
 
Happy Valentine's darling. Nilijua Shunie alishafikisha salamu zangu za heri kwako.

Hewaaaaaaa haya mambo madogo madogo ndio huwa yananilainisha kabsaaaaa, nakua kama boflo mbele ya chai... ndio maana kukosa meseji kama hii jana kumenirarua sana.

ahsante sana Babu Asprin kweli unayajua matibabu ya maradhi yangu
 
Dah! Mie hadi naingia mitamboni sasa hivi bado sijapata wa kunisifu kiasi hicho licha ya kuwa leo siku spesheli
HAHAAAA ACHA KUHADAIKA NA HAYO MAISHA YA MITANDAO ...
asilimia kubwa huwa ni fake life ...angalia leo hii pale walipofikia zari na muuza Karanga ..
kuna wakati watu huwa wana fake tabasamu ilikuionyesha Jamii kuwa wanamapnzi yliyotukuka kumbe wakutanapo kitandani hata kitandani huwa kinatamani kuwa bwaga ili kirejee kuwa mbao ama chuma
 
Happy valentine's day baba yeyoo wa kwake shunie tu[emoji7][emoji7]
 
Happy Valentine's darling. Nilijua Shunie alishafikisha salamu zangu za heri kwako.
Hewaaaaaaa haya mambo madogo madogo ndio huwa yananilainisha kabsaaaaa, nakua kama boflo mbele ya chai... ndio maana kukosa meseji kama hii jana kumenirarua sana.

ahsante sana Babu Asprin kweli unayajua matibabu ya maradhi yangu
Asante wa kunyumba
 
Sitakiii we si umefata ushauri wa babu wa kukugawa

Sasa mtu anawezaje kuoa mtu na swahiba wake? Mzigua90 si ndugu yako huyo au unamtilia wivu?
Tumetoka mbali ujue, wakristo hatuna ndoa za uke wenza, ni wewe tu Mama yeyoo

zile habari za Babu zilikua ftrastresheni tu
 
Sawa baba yeyoo nimekuelewa tuanze ukurasa mpya
 
My husband, thank you for being there for me, you always make me feel special. Our imperfections make us perfect for each other.

I love you Asprin and Happy Valentine 2018 from Sky Eclat your wife.
Dada hapa umeingia chaka ila kipenda roho bana... Akitoa mahari nitamsaidia kukarabati front show[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hewaaaaaaa haya mambo madogo madogo ndio huwa yananilainisha kabsaaaaa, nakua kama boflo mbele ya chai... ndio maana kukosa meseji kama hii jana kumenirarua sana.

ahsante sana Babu Asprin kweli unayajua matibabu ya maradhi yangu
Ewaa sasa utulie na huyo mtoto wa kizigua. Akikuletea ubishi kuna kajukuu kengine nitakupa kama back up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…