[emoji23][emoji23][emoji23]Dhambi gani Shem...
Halafu usiniite bibi mie, unataka ninyima nini lakini
Mmh baba yeyoo hivi si yaliishaAhsante sana kunifumbua macho...nitapona mdogo mdogooo ndio mana hata jana sijatumiwa wishes za Valentine
Hapana my love
Ananitafutia sababu yaan leo wimbo ni huo huoAcha hizo
Mwenyewe sijatumiwa ujue... Mapenzi sio ya jana tuu, kila siku ni Valentine Shem.. Au unatafuta sababu eeeh
HahahaMmh baba yeyoo hivi si yaliisha
MhSasa na wewe ndio umefanya nini? Mie nimevurugwa na Mama Yeyoo nikataka nikuulize kama ofa bado ipo unaanza mambo ya mme mwenzio tena!!!! Bora nikae pembeni kuepusha msongamano
Kwahiyo umeamua kuniachaKwakweli umevunja ndoa ila hata hivyo sitamchukua mjukuu wako itakua yaleyale tu. Nna wivu sana
Utaniua kwa wivu my loveLove you
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zanguHahaha
Yaani unapataga wanaofanana ujue
Usijali nipo nitakutibu...Naumia ujue
Nisamehe MimiKwakweli umevunja ndoa ila hata hivyo sitamchukua mjukuu wako itakua yaleyale tu. Nna wivu sana
Kwahiyo umeamua kuniacha
Nilikuwa natania tuu mdogo wanguAnanitafutia sababu yaan leo wimbo ni huo huo
HahahaUtaniua kwa wivu my love
Afu mwanetu nani atamlea?Hahaha
Tutakufwa wote tuu love
Ngachokaa kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu
Hebu ukujeUsijali nipo nitakutibu...