This is too much muda umefika kusema no kwa jkt

Joined
Aug 28, 2013
Posts
33
Reaction score
4
Kiukweli JKT wametufanya sisi wapuuzi na wajinga, maana wamengojea watu tayari wameshaingia vyuoni na wengine ndo wanajiaanda kwenda halafu wanakuja na habari za JKT halafu hakuna barua inayoelezea kuhusu awamu ya 3 kama walivyofanya awamu ya pili na kwa research niliyofanya nimegundua wamechagua herufi A mpak L na MA wachache sana hivyo herufi M mpaka Z bado hivyo hawa watakwenda wakirudi awamu ya 3 hv hii ni akili au matope? y JKT wanafanya maamuzi bila kuwahusisha TCU? Au wanatuonyesha ubabe wao? this is too much imefika stage tuseme No na huku kuburuzwa na Serikali ya JK
 
Jamani tusiwalaumu jkt, they're just too innocent...

mbona walishatangaza tangu awali kuwa intake ya pili, ya tatu na ya nne itakuwepo...

Mbaya zaidi nilishawahi kuwaambia hili mkanivaa usoni, nikaambulia matusi na dhihaka.... Leo wanatranslate usemi wao into action mnaanza kuwalaani
 
Kwa sababu awamu hii imekugusa ndiyo maana unataka wenzako wakuunge mkono kusema unachokiita 'no'?
 
Mie nafanya kuimagine kuwa ratiba ya kwenda J.K.T ndio ingekuwa interrupted na vyuo,yani posts zingetoka na kuonesha vyuo kufunguliwa tarehe ambapo J.K.T inatutaka tukaripoti..Tatizo hapa sio sintofahamu,ila ni ule mchecheto na woga wa kadepo ka kakifadha..Nyie subirini mambo yatajichekecha tu wakati huo mkiombea itokee aziwea
 

nenda wewe jeshi naona unausongo kwli
 

tatizo co kwenda jkt...tatizo ni kua kuna ambao tuko vyuoni tayari sasa tufanyaje tuache masomo twende uko au vp? kingine wangewasiliana tokea mwanzo kua kimoja kianze thn kingine kifwatie .....mshika mawili moja humponyoka sasa mm litaniponyoka la jkt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…