Jackal Malinza
Member
- Aug 28, 2013
- 33
- 4
Kiukweli JKT wametufanya sisi wapuuzi na wajinga, maana wamengojea watu tayari wameshaingia vyuoni na wengine ndo wanajiaanda kwenda halafu wanakuja na habari za JKT halafu hakuna barua inayoelezea kuhusu awamu ya 3 kama walivyofanya awamu ya pili na kwa research niliyofanya nimegundua wamechagua herufi A mpak L na MA wachache sana hivyo herufi M mpaka Z bado hivyo hawa watakwenda wakirudi awamu ya 3 hv hii ni akili au matope? y JKT wanafanya maamuzi bila kuwahusisha TCU? Au wanatuonyesha ubabe wao? this is too much imefika stage tuseme No na huku kuburuzwa na Serikali ya JK