Duh! yaani bado hawajawalipa tu mafao yao? What is the problem?
.....nakumbuka kuna wakati wastaafu wa EAC walipewa cheque zao (correct me if im wrong).......sasa hawa wengine wametokea wapi?........au kuna wengine waliachwa!!.....kama waliachwa je ni kwa misingi gani?
Hivi serikalini hakuna mtu wa ku-clarify hili jambo now and then kila linapoibuka..........kama kuna mikataba waliyokuwanayo basi iwekwe wazi ili tujue maslahi yao yakoje.........sio kuwa mabubu mpaka watu wanarusha mawe..........
..............Trust me nyie waserikali kama mnafanya kazi zenu kisawasawa........hakuna atayewarushia mawe............
Hawa Wabongo wenzetu bado wanazungushwa tu kila kukicha miaka 31 tangu Jumuiya ivunjike!!! Tukiita serikali ya dhuluma na ya kifisadi wanakasirika.
.....nakumbuka kuna wakati wastaafu wa EAC walipewa cheque zao (correct me if im wrong).......sasa hawa wengine wametokea wapi?........au kuna wengine waliachwa!!.....kama waliachwa je ni kwa misingi gani?
Hivi serikalini hakuna mtu wa ku-clarify hili jambo now and then kila linapoibuka..........kama kuna mikataba waliyokuwanayo basi iwekwe wazi ili tujue maslahi yao yakoje.........sio kuwa mabubu mpaka watu wanarusha mawe..........
..............Trust me nyie waserikali kama mnafanya kazi zenu kisawasawa........hakuna atayewarushia mawe............
Hapa utaambiwa mchochezi

Phil usiogope sana, kwa bahati nzuri miongoni mwa watu wenye uwezo huo wa kumpindua Kikwete hakuna mwenda wazimu, na kwanza ni watu wake damdam, kwa hiyo halitatokea hilo. Mkuu wa majeshi Gen Davis Adolf Mwamunyange ni mshikaji wake tangu wakiwa jeshi. IGP Saidi Ali Mwema ni shemeji yake. DG wa TISS Rashid Othman wametoka nae mbali, tangu kabla ya enzi zake pale MOFA ambako kamtunza sana. Kwa ujumla hakuna wa kumpindua JK, uwe na amani.
Hii ya kwake ni tofauti sana na Obote ambae aliweka mtu asiyetabirika, Idd Amin kuwa mkuu wa majeshi, amnaye hatimaye alimgeuka. JK ni mjanja zaidi, hana watu dizaini hiyo. Tatizo lililoko ni kuwa jinsi watu wanavyozidi kupungukiwa uvumilivu na kufanya fujo, ndivyo watawala wanavyozidi kupata visababu vya kutenda dhuluma kwa visingizio vya "law and order", na kama busara haitatumika hali itazidi kuwa mbaya siku baada ya siku.
Hili la hawa Wazee aliyezembea sio Kikwete ni Mwalimu. Limekaa muda mrefu, rekodi nyingi zimepotea, waliokwisha lipwa wanadai walipwe tena kutokana mkanganyiko huu wa kumbukumbu, wengine wala hawakuwahi kuwa waajiriwa wa EAC, watumishi wa hazina nao wanatumia vurugu hii kujineemesha,.....
Good point, WildCard. I hate this Kikwete guy, ila hapa nitamtetea. Huu ni uzembe wa Mchonga.
na mie nasubiria tu za mzee wangu, kulipa washalipa ndiyo lakini hawakulipa inavyotakiwa ndio maana malalamiko yapo, wanadhania wanaweza dhulumu jasho la watu hivi hivi, mie mzee hadi anakaribia kufa aliniambia mahesabu ya haki zake zote yanakaribia m.100 kwa rate za wakati huo, na hiyo ilikuwa miaka 6 iliyopita.Mkuu Ogah,
Maneno mazito, unajua hata mzazi wangu anawadai kwa hela za bongo sasa, aliniambia ni karibu millioni 60 za mafao yake huko EAC kwa hiyo tuko wengi tunaozisubiria bro!
is somebody losing control of this nation? Kwa sababu matokeo yake ni watawala kuanza a system of suppression.... inanikumbusha kisa cha Mugabe na Matebele....
...Masikini Tanzania... Tunaelekea pabaya, tunahitaji msaada...